Gelange Vidunda
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 314
- 31
Vichaka ni remnants of mangroves, a protected species in Tanzania, together with "Mpingo"Hao jamaa inakuwa kama wamekaa wanapunga upepo pembeni ya bonge la dimbwi flani la maji! Halafu cheki jamaa walivyochoka...yaani choka mbaya sana. Halafu beach gani hii yenye vichaka...angalia hiyo picha ya kwanza hapo juu juu kwenye picha...hiyo ni miti au vichaka?
Halafu mbona msongamano wa watu ni mkubwa hivyo? Au ni mimi tu macho yangu?
Mkuu Gembe,
Nakubaliana na wengi hapa kwamba serikali imeshindwa kufanya mambo mengi ya maana, then what next? mambo mengine sisi wananchi tuna part ya ku play hata kama serikali inashindwa.
Mfano ni hili la mazingira. Utashangaa sisi wenyewe ndio mabingwa wa kuharibu hayo mazingira, viwanja vya kuchezewa vinaporwa tumekaa tu na tunasubiri serikali. Sasa kama serikali ni hiyo tutaishia wapi?
Mimi ningetaka watu watambue kuna tatizo na wawe tayari kuchukua hatua badala ya kupiga kelele kila siku ambazo hazitusogezi popote. Watu wawe tayari kuchangia harakati za kutengeneza miji yetu.
Kila nikiangalia wanasiasa wa pande zote waliopo naona kama mawazo yao ni karibu sawa tu. Wanafanana kwa visions na matendo, labda ifike mahali wananchi tuwe tayari kwenda hatua moja mbele badala ya kupiga kelele tu ambazo kwa kweli mpaka sasa hazijatusaidia sana.
jmushi1;42966"Tatizo ni viongozi ambao tayari wamesha safiri na wanajuwa kabisa hii si sahihi."[/QUOTE said:This what I ask myself everyday and cannot understand.
Nimemuona kijana naye mtambua kwenye picha! Nikamuuliza, hivi ni kitu gani kinachokupeleka coco beach wakati madhari yake haina mvuto hata kidogo! Akanijibu, "mimi naijua coco beach! kuanzia naijua mpaka leo iko hivyo hivyo, kwani inatakiwa iwaje? Na mimi nikamjibu kwa swali iko hivyo hivyo manayake nini? watu kibao ila bei za vitu na usafiri ndivyo vinakuwa shida! Nikamuuliza vipi kuhusu mazingira unaridhika nayo? Akaniuliza kivipi yaani? Nikafafanua, na maanisha mahali pa kukaa, usafi, ulinzi? Akanijibu! Duh! hayo mambo yenu nyie sasa! Koko ni kivyako vyako na washikaji kula gudtimes basi, tena ukifanikisha kufika ni mtoko babukubwa, hayo ya mazingira mi siyaoni!
Nilishtushwa sana na jibu lake, maana, unavyoona mabaya kila siku, kunawatu wanaochukulia kwamba ni hali halisi. Wanaizoe, na wanaacha kuiona!
Nilipoandika ile wakazi wa Dar waliozoea Kinyaa ndiyo sentiments kama hizo nilikuwa nafikiria...! Well unafikiri akiulizwa Mbunge anayewakilisha maeneo ya Coco Beach (sijui ni nani) unafikiri anaweza kuwa na majibu tofauti?
Hapo Maslow anakuwa applicable.
Nimemuona kijana naye mtambua kwenye picha! Nikamuuliza, hivi ni kitu gani kinachokupeleka coco beach wakati madhari yake haina mvuto hata kidogo! Akanijibu, "mimi naijua coco beach! kuanzia naijua mpaka leo iko hivyo hivyo, kwani inatakiwa iwaje? Na mimi nikamjibu kwa swali iko hivyo hivyo manayake nini? watu kibao ila bei za vitu na usafiri ndivyo vinakuwa shida! Nikamuuliza vipi kuhusu mazingira unaridhika nayo? Akaniuliza kivipi yaani? Nikafafanua, na maanisha mahali pa kukaa, usafi, ulinzi? Akanijibu! Duh! hayo mambo yenu nyie sasa! Koko ni kivyako vyako na washikaji kula gudtimes basi, tena ukifanikisha kufika ni mtoko babukubwa, hayo ya mazingira mi siyaoni!
Nilishtushwa sana na jibu lake, maana, unavyoona mabaya kila siku, kunawatu wanaochukulia kwamba ni hali halisi. Wanaizoe, na wanaacha kuiona!
Petu Hapa washangaza ! sasa ulitaka kijana akujibuje?
Yeye hajafika hata Morogoro au Tanga anapopajua ni Dsm.
Wewe umesafiri sana hadi ukajua sehemu nyingine duniani.Hapo Coco Beach au OysterBay kama ilivyokuwa ikifahamika ndo kafika, ndio mtoko wake.Sasa mwenye tatizo ni wewe maana ungeweza kabisa ku initiate mabadiliko pale ili wengine waone.
hali hii huwa inajirudia wakati wa siku kuu zozote kubwa za kidini. Picha hizi ni kutoka kwa Mroki za siku ya ya Pasaka iliyopita. Wakati wa Dar ambao wamezoea kinyaa wanaendelea kuwachagua watu wale wale ambao wameshindwa kutafuta suluhisho la ukosefu wa maeneo ya kupumzika lakini maeneo ya mahoteli ya kitalii yanapatikana kwa urahisi!
Nimechambua hili katika makala yangu mojawapo ya kesho nadhani iko Tanzania Daima au MwanaHalisi.
bongo iyo bwana
Ebo wewe na familia yako na ukoo wako!
ninachofanya mimi wewe hata kukiwaza huwezi! huna mpango!