acheni kulalamika mtandaoni njooni tupambane huku.....mnakuja kuchungulia wiki 1 mnakimbia alafu sasa hivi eti mnajipanga kuja kugombea ubunge......wengine tumechoka na uzembe wenu!
kama huendi kule umejuaje kama beach imechoka? mtoto wako,jirani yako wanakwenda sio lazima wewe uende huko.....Mimi siendi huko sasa kwa nini unategemea niiboreshe? Unataka kunibebesha mzigo si wangu?
Hopeless.....Wenye maduka wapelekeeni vifaa vya kuogelea na nguo za bikini kwa ajili ya hao waliovaa magauni ,yaani watoto wengi naona na magauni nguo za shamba wanakuja nazo beach nafikiri hawa wanatoka mikoani na hawajawai kuona bahari na nguo gani zinatumika sehemu hiyo sia jabu ukaona wengine wapo exposed kabisa na hata habari hawana wanatoka juu mbio na kujitupa ndani ya maji ni sherehe tu na nawapa hongera kwa kujumuika huko ila kunata elimu kidogo ni namna gani washuke hapo.
kama huendi kule umejuaje kama beach imechoka? mtoto wako,jirani yako wanakwenda sio lazima wewe uende huko.....
Tatizo lingine huko Bara, watu wanakumbuka maeneo kama hayo wakati wa sikukuu tu! Ilhali Zenj kila siku zipo busy na sikukuu ndio kabisa! Mbaya zaidi inatia aibu kwa Jiji hilo kuwa na kabeach kamoja tu kanakovuta watu!
Matema beach nimefika na sio beach ya public, ni private na huko Mwanza beach nyingi wanazokwenda wazawa ni private, unapangiwa hata time ya kuingia na kutoka! hapa swala ni public open space! Zipo ngapi huko Bara?Tatizo lako maalim wafikiria beach ni ya Indian Ocean tu! umefika pale mji kasoro bahari? umefika Matema beach? au for a good measure umefika mwaloni Mwanza?kuna beach za kufa mtu huko!!!
Matema beach nimefika na sio beach ya public, ni private na huko Mwanza beach nyingi wanazokwenda wazawa ni private, unapangiwa hata time ya kuingia na kutoka! hapa swala ni public open space! Zipo ngapi huko Bara?
Hapo chini ni mojawapo ya hizo uzaoita beach, hii ipo Mwanza. Kuingia hapo lazima uwe unajuana na mwenye hotel na cheki njisi anachagua nani aingie na nani asiingie. Hebu nipo mfano wa public beach moja tu yenye kufanana na hii hapo Mwanza.
Haya mwanafyale! Karibu Zenj 😀Yakhe Kibunango!umejijibu mwenyewe suala uliloliweka hapa hadharani.Beach hapa bongo si Dar tu na nilikuwa sijamaliza zote na, zile za Pangani ,Bagamoyo Lindi na Mtwara.Tusishindane kwa vivutio vya kitalii kwa wazawa wa bongo maana tukifanya hivo hapa umegonga gari kubwa!!
Usha ogelea ziwa Tanganyika weye?
Matema beach nimefika na sio beach ya public, ni private na huko Mwanza beach nyingi wanazokwenda wazawa ni private, unapangiwa hata time ya kuingia na kutoka! hapa swala ni public open space! Zipo ngapi huko Bara?
Hapo chini ni mojawapo ya hizo uzaoita beach, hii ipo Mwanza. Kuingia hapo lazima uwe unajuana na mwenye hotel na cheki njisi anachagua nani aingie na nani asiingie. Hebu nipo mfano wa public beach moja tu yenye kufanana na hii hapo Mwanza.
na nyie watu wa majuu mnaboa.....nyie mnabweteka makalio yenu huko mnataka nani awatengenezee beach zenu?
pesa hamtumi kazi kufanya sherehe kila siku.....tumeni fedha muone kama beach haitakuwa safi sio kukandia kila kitu.....
iteni fundrising za maana sio za sherehe.....mie nashangaa sana
sijawahi kuona hapa walio majuu mnaitisha fundrising ya kusaidia kujenga shule,hospital au other social service....ila naona mnaitishana michango ya madisco....
ionyesheni serikali mfano sio kuandika makala ndeeeeeeeeeeefu JF na kwenye magazeti...tunataka vitendo...ebo
wewe mwanakajiji tumeshachoka na makala zako tunataka vitendo......
Serikali ni nani/nini?Yo Yo nadhani unahitaji kujifunza somo moja hivi muhimu sana, linaitwa SIASA au ELIMU YA URAIA. Humo kunaelezewa wajibu wa kila mtu na kila chombo ktk jamhuri yetu tukufu.
Sisi kama wananchi tulipoichagua serikali iliyopo madarakani, tuliichagua na mojawapo ya lengo kuu ni kuunganisha ili kuwe na nia moja, nguvu moja na sauti moja ktk yale ambayo mwananchi mmojammoja asingeliweza kuyafanya. Hivyo basi yale ambayo yanapaswa kuwa ktk scale ya kiserikali, serikali haiwezi kukwepa kutekeleza au kuweka mipango kwayo, la kama imeshindwa basi ikae pembeni waje watu wenye fikra na upeo wa kuchapa kazi na kuleta mabadiliko.
Sasa kwa hii abstract fupi, naomba umalizie sehemu iliyobaki.
Serikali ni nani/nini?
acha ligi jibu swali.......Kwa ajili ya jibu la swali lako, rejea sentensi ya kwanza ya posts uliyoinukulu..
Shukran
acha ligi jibu swali.......
..kama unafikiria serikali ni jakaya nawenzake umekosea......
Yo Yo nadhani unahitaji kujifunza somo moja hivi muhimu sana, linaitwa SIASA au ELIMU YA URAIA. Humo kunaelezewa wajibu wa kila mtu na kila chombo ktk jamhuri yetu tukufu.
Sisi kama wananchi tulipoichagua serikali iliyopo madarakani, tuliichagua na mojawapo ya lengo kuu ni kuunganisha ili kuwe na nia moja, nguvu moja na sauti moja ktk yale ambayo mwananchi mmojammoja asingeliweza kuyafanya. Hivyo basi yale ambayo yanapaswa kuwa ktk scale ya kiserikali, serikali haiwezi kukwepa kutekeleza au kuweka mipango kwayo, la kama imeshindwa basi ikae pembeni waje watu wenye fikra na upeo wa kuchapa kazi na kuleta mabadiliko.
Sasa kwa hii abstract fupi, naomba umalizie sehemu iliyobaki.
Mwanakijiji alipoanza kuandika hii habari ya beach, kwa kweli alikuwa amechoka. Mwanakijiji usisahau kupumzika baba.
Dhana ya kusubiri kuletewa mabadiliko/maendeleo imepitwa na wakati ile mbaya! Utasikia watu wakitumia maneno kama "kuwezeshwa", "wananchi wakiwezeshwa" ....hizi ni fikra za karne ya leo kweli?!
Hata beach, lawama apewe....
Haya mwanafyale! Karibu Zenj 😀
Yap sheria inasema kuwa ujenzi wa hotel katika fukwe uache mita 60, nadhani hii ni pamoja na kuhifadhi mazingira ya fukwe, na kuacha eneo hilo kuwa ni la public.Mimi nilidhani beach zote ni public Tanzania? Kuwa huwezi kumilikishwa beach. Au sheria imebadilika?