Miezi 12 tokea huu uzi, wkend hii nilipata wasaa wa kwenda kufanya mazoezi Coco. Nilichokiona Waafrika tuna laaana, Waafrika tuna tatizo mahala kuanzia watawala mpaka watawaliwa.
COCO BEACH NI CHAFU SANA, COCO BEACH NI HATARI KWA AFYA, COCO BEACH INANUKA, COCO BEACH INATUDHARIRISHA, COCO BEACH INATUAIBISHA KWA WAGENI maaana wengi wao pia hufika fukwe hizo.
Manispaa ya Kinondoni oneni aibu Coco beach sio sehemu salama kiafya.
Kwaherini