Ewaaah!! 🙏Ni kweli hunaga makuu na nishakuona kitambo tu
Nikiwa nae huwa anakuita COCA DIVINE 😂😂😂😂 kaa na nduguyo vizuri akueleze, kuna kitu hajakuambia etii??
Woiiih.
Watu wanatumia uandishi wao kuwin mie nipo tuu na efootball yangu 😃😃😃Kwanini sasa Ba tamu? 😂😂😂
Kwel tena,,... Natafuta hilo game kwa ajili yako😃Em sema kweli? 😂😂😂
Ndo maana ulikuwepo😇Nikusaidie kufuta machozi Ba tamu. 😂😂😂
Tunakufuatilia😅😅😅😅Nikiwa nae huwa anakuita COCA DIVINE 😂
Sema mie napambania penzi la ndugu yangu wakati huo kwangu mimi ma mkali hanizingatii 😂Tunakufuatilia😅😅😅😅
😂😂😂Ndo maana ulikuwepo😇
Wee em apia, 😂😂😂Kwel tena,,... Natafuta hilo game kwa ajili yako😃
Si ndioo, wee na eFootball tuu. 😂😂😂Watu wanatumia uandishi wao kuwin mie nipo tuu na efootball yangu 😃😃😃
Eti nini? 😂😂😂Nikiwa nae huwa anakuita COCA DIVINE 😂
😃😃😃😃Sema mie napambania penzi la ndugu yangu wakati huo kwangu mimi ma mkali hanizingatii 😂
Nifuatilie tu ila nimejitenga sitaki kuitwa simp 😂🙌
Sikuhizi wanatawaza vizuri Mkuu!?Mimi mambo ya kukimbizana na madem wakibongo sipo tena sasa natembea na mashine za afrika kusini
Nishasema nipo na nyie mpaka hilo penzi likuue braza😃Sema mie napambania penzi la ndugu yangu wakati huo kwangu mimi ma mkali hanizingatii 😂
Nifuatilie tu ila nimejitenga sitaki kuitwa simp 😂🙌
Haki ya mama tena ukisema Suiii me huyo kulifuta😃😃Wee em apia, 😂😂😂
Kujua jinsia ya mtu JF ni kazi sana. Naona watu wanaamua kujilipua. Kuna mtu hapa niliona ni demu mkaliz kumfata PM kumbe mchizi ovyoooSijui kama anajua hiyo sio pisi bali ni gasho (based on rumors wayback hamjapata simu za mikopo)