min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,820
- 165,576
Wapi?Naomba ajira boss
Wapi?Naomba ajira boss
Nisimamie miradi bossWapi?
😁😁😁Hatariii sana mahi, 😂😂😂
Nimejifanya siuoni huu Uzi naona wameona nilale roho juu...Mejiii, unataka kaka ako apate pressure? Kwani yeye alisema anapenda eFootball na sio mie.
😂😂😂
Nimelia sana😃Muongo huyo, 😂😂😂
Yeye anapenda eFootball tuuh. Woiiih
Fala😃Niamini mimi huyo hachomoki, anaharibiwa na wale vijana wa kusema "Ukionyesha unampenda sana atakupanda kichwani" 😂🙌
Hizi taarifa zipuuzwe...Mejii acha kunijaza, nduguyo hanipendii bhana
😂😂😂
Kuruta amka ni muda wa mabio,Kuruta,sasa ni muda wa kupiga mbonji.Asubuhi ni mchakamchaka na fatiki.
Kwanini sasa Ba tamu? 😂😂😂Nimejifanya siuoni huu Uzi naona wameona nilale roho juu...
Na vile sipo romantic nakula za uso soon😃
😂😂😂Waache waja bwana si unajua wana nongwa!?
Em sema kweli? 😂😂😂Hizi taarifa zipuuzwe...
Nikusaidie kufuta machozi Ba tamu. 😂😂😂Nimelia sana😃
Wee em sema kweli? 😂😂😂Huyu dada anashepu sio mchezo alfu ametuliia hana makuu.
😂😂😂 kaa na nduguyo vizuri akueleze, kuna kitu hajakuambia etii??Shemeji ndugu yangu kwako kafika niamini mimi ni vile tu anajizima data halafu anakhofia wasijeunda kamati kukuangamiza, unajua vile wanakutolea udenda humu shemeji 😂🙌
Selikavu
Ni kweli hunaga makuu na nishakuona kitambo tuUmeona eeeh? Sina makuu mie. 😂😂😂