Na ndio maana wakitaka kukupakazia kitu huchomoki, wanamiliki mainstream media karibu zote duniani. So propaganda zinamilikiwa na wao. Refer ISIS. Nna wasiwasi hata kile kifungu pendwa cha bible bila shaka walikiweka wao makusudi ili waendelee kuwafanya wenzao maboya.Makampuni makubwa duniani/Marekani ama yanamilikiwa ama kuendeshwa na Wayahudi (CNN.. Starbucks.. Facebook.. Whatsapp… Disney… Miramax.. Bloomberg.. NY Times… Oracle.. Dell… Goldman Sachs… Ralph Lauren… Tommy Hilfiger… Dallas Mavericks… Chicago Bulls
Golden State Warriors… Google.. Dreamworks.. Qualcomm.. Atlantic records.. Revlon.. Porsche.. etc… etc… etc) katika hali kama hii unategemea nn?