CNN yamfuta kazi mwandishi wa habari mweusi baada ya kuikosoa Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,840
17,438
CNN yamfuta kazi mwandishi wake kwa kukosoa siasa za kikatili za Israel
Televisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mwandishi na mchambuzi wake kwa sababu ya kukosoa siasa za kikatili za utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Televisheni ya CNN imechukua hatua hiyo baada ya Marc Lamont Hill kuhutubia ukumbi wa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina ambako alitoa wito wa kususiwa Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina.
Baada ya hotuba hiyo televisheni ya CNN ilitoa taarifa ikisema Marc Lamont Hill amesimamishwa kazi. CNN haikutaja sababu ya kuchukuliwa hatua hiyo.
Katika hotuba yake kwenye Umoja wa Mataifa, Mark Lamant Hill ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Temple huko Philadelphia alitoa wito wa kususiwa Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina kuanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Mediterania. Vilevile alisema kuwa anaunga mkono uhuru wa Palestina na kukosoa vikali sera na mienendo ya Israel.
Baada ya hotuba hiyo makundi yanayoiunga mkono Israel nchini Marekani yalianzisha hujuma na mashambulizi makali dhidi ya Mark Lamant Hill na kuitaka televisheni ya CNN na Chuo Kikuu cha Temple kumfuta kazi.
my take; uzayuni umeikalia washington kimabavu
 
Sio uzayuni unaakosea, 80% ya wazungu USA ni wayaudi, sasa ukianza kuikandia Israel ndani ya Washington ni kwamba unataka kufa.
 
CNN yamfuta kazi mwandishi wake kwa kukosoa siasa za kikatili za Israel
Televisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mwandishi na mchambuzi wake kwa sababu ya kukosoa siasa za kikatili za utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Televisheni ya CNN imechukua hatua hiyo baada ya Marc Lamont Hill kuhutubia ukumbi wa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina ambako alitoa wito wa kususiwa Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina.
Baada ya hotuba hiyo televisheni ya CNN ilitoa taarifa ikisema Marc Lamont Hill amesimamishwa kazi. CNN haikutaja sababu ya kuchukuliwa hatua hiyo.
Katika hotuba yake kwenye Umoja wa Mataifa, Mark Lamant Hill ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Temple huko Philadelphia alitoa wito wa kususiwa Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina kuanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Mediterania. Vilevile alisema kuwa anaunga mkono uhuru wa Palestina na kukosoa vikali sera na mienendo ya Israel.
Baada ya hotuba hiyo makundi yanayoiunga mkono Israel nchini Marekani yalianzisha hujuma na mashambulizi makali dhidi ya Mark Lamant Hill na kuitaka televisheni ya CNN na Chuo Kikuu cha Temple kumfuta kazi.
my take; uzayuni umeikalia washington kimabavu

Pro western wakwapi? Waje huku kuitetea marekani na mashoga wenzake, wasijifanye hawajui kilichotokea
 
nimemjibu apo naona kaamua kunifananisha na 'ta/ko'
Tatizo lako unatumia makalio kufikiri. Uliza utaambiwa.

Bwana Gullam Kusema idadi ya wayahudi walioko USA kuna tegemea unawahesabu vipi
-wanaoabudu masinagogi ya jumla yao ni 2.3 mil yaani wachache kuliko wazanzibari
-ukipima yeyote aliekulia kwa wayahudi+aliye na mzazi mmoja myahudi marekani wako 7.3 mil
-Na kuna wale wanajiita wayahudi kwa kupokea wokovu wa yesu hao tuachane nao
Idadi ya wamarekani wote sasa hivi ni milion 325 ,kinachofanya wawe juu sana ni kwamba wanajua kuinuana ,wayahudi huchanga watoto wao wajikite kwenye elimu za kisayansi na maarifa magumu ,ndo maana wamejaa kwenye mashirika makubwa ya kijasusi ,hata islamic state ina wayahudi wa kutosha hii ni kama ilivyo hapa wachaga mtoto akifaulu kijiji kizima kinachanga akasome leo tunaona wamejaa mavyuoni ,mabenki ,serikalini huku wakiwaacha wazaramo wakitunga mashairi ya michambo
 
Makampuni makubwa duniani/Marekani ama yanamilikiwa ama kuendeshwa na Wayahudi (CNN.. Starbucks.. Facebook.. Whatsapp… Disney… Miramax.. Bloomberg.. NY Times… Oracle.. Dell… Goldman Sachs… Ralph Lauren… Tommy Hilfiger… Dallas Mavericks… Chicago Bulls
Golden State Warriors… Google.. Dreamworks.. Qualcomm.. Atlantic records.. Revlon.. Porsche.. etc… etc… etc) katika hali kama hii unategemea nn?
 
Siku zote hakujua sera na msimamo wa muajiri wake, na kama uezo wake ni mkubwa asingekubali kuajiriwa na shirika asiloamini itikadi zake.., nadhan ama aliamua kujilipua au ni zile mbinu za kutafuta kiki(popularity) ki@ina
 
Hiko kichwa cha habari,kulikuwa hakuna haja ya kusema mweusi,halina maana.

..ntarudi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom