CNN: Vita ya Kidemokrasia Tanzania

CNN: Vita ya Kidemokrasia Tanzania

So long as mnategemea pesa zao kama mkopo kufanyia miradi yenu ya maendeleo basi ujue hawawezi kuwaacha mnavyotaka. Waafrika wakiachwa waishi wanavyotaka hakutakuwepo na kiumbe kinaitwa muafrika baada ya miaka 50 kutoka Leo. Ni watu wasioweza kuishi bila usimamizi wa watu kutoka nje

Mimi nafikiri umekuwa mbinafsi katika hilo kwa kujiangalia mwenyewe, mbona Waafrica wengi tu tupo tunaojielewa mkuu, Hata hiyo mikopo sio lazima watupe wanaweza kukaa nayo tu maana hata kama waafrica tusipokuwepo wao hawaathiriki chochote baadala yake watuache tu na raha zetu..
 
Magufuli has overseen numerous closures and suspensions of media outlets. His officials have encouraged and tried to exacerbate a split in the Civic United Front, by backing one side. His government has undermined judicial and parliamentary independence, implemented a partial ban on public rallies, harassed MPs, closure of online political space, and prosecuted critics under new defamation and sedition laws.

Together, these constitute major infringements on the freedom of expression and the opposition's ability to communicate with voters.
In March this year he announced at a press conference that:
"Media owners, let me tell you: 'Be careful. Watch it. If you think you have that kind of freedom — not to that extent'."

In part, this repressive streak is a return to form. CCM has a long history of authoritarianism. It has ruled Tanzanian uninterrupted since 1977, and its predecessor parties ruled Tanganyika since 1961.

But there is a more immediate reason that Magufuli is tightening the noose on the opposition. The opposition has never been so strong. In 2005, CCM's Jakaya Kikwete won the presidential election with an unassailable lead of 68% over the runner-up. By 2015, CCM's margin of victory had been shortened to 18%. For the first time in Tanzania's history, the opposition is a force to be reckoned with.

The most plausible explanation for Magufuli's authoritarian turn is that he is trying to minimize the possibility of an opposition victory in the future. Equally, every time he advances the anti-corruption agenda, he makes more enemies who might defect to the opposition. By narrowing space for opposition, he reduces the risk of them doing so.

But Magufuli is not only relying on repressive means to stay in power. He is also pursuing a program that revives his popularity.
Inabidi dr. Hassan atoke hadharani hakifungie hiki kituo kabla hakijamwaga mchele zaidi, au apige marufuku matumizi ya internet tanzania kwani habari hizi tunazipata zaidi ya watanzania million15 smartphone zimeshuka bei mpaka elf50 sku hizi
 
kuingilia wazungu ni sawa kwa sababu ukisema mbona cc hatuwaingilii nakushangaa je tushawai kusaidia taifa lolote uzunguni ?tusha wai kuombwa msaadaa?anae kusaidia ndie anae kufundisha kwa asilimia 96,

Sio lazima kutoa msaada,, kuomba au kutoomba ni jukumu lao wenyewe..lakini ukumbuke hata wao wanamadeni na taasisi za kukopea ziko kwao..
 
Kungekua hakuna demokrasia Mngekua kila siku mnaitisha press conference? Au nyie demokrasia ni kutukana mitusi kutwa kucha?
pers za kushikiana bunduki ndo kitu gani hakuna demokrasia hapa ni uoga tu na kutishiana kuekana na mambo kama hayo
 
pers za kushikiana bunduki ndo kitu gani hakuna demokrasia hapa ni uoga tu na kutishiana kuekana na mambo kama hayo
Walioshika bunduki ni vijana wa Mbowe we muulize Zitto kwa nn alisema Chacha Wangwe died i wont
 
CNN ni fake news kwa Mujibu wa D Trump
 
Walioshika bunduki ni vijana wa Mbowe we muulize Zitto kwa nn alisema Chacha Wangwe died i wont
wacha ujinga wako wale wa clouuds ni kina mbowe na wale waliomteka saa nane ni wambowe na waliomteka roma ni wa mbowe wanaotia watu kwenye sandarusi ni wa mbowe pia? na hawa wasiojulikana waliomraruararua lisu ni wa mbowe? watanzania si wapumbavu mkae mkijua wala msisimame majukwaani mkidhani mnaongelesha wapumbavu!!!!!tunawaangalia tu bila kujali itikadi za vyama watanzania wanaelewa mnachofanya na ndo maana pia bila kujali itikadi zao walimlilia Lisu na wamemchangia mpaka ameimarika sasa endeleeni
 
I thinks sometimes it's okay to limit the freedom of political association
 
watuache hawa wazungu, sisi mbona hatuwaingilii kwenye mambo yao.. HUU NI UTARATIBU TULIOJIAMULIA KUISHI NA KAMA KUNA MTU YUPO TANZANIA ANAAMINI HAUMFAI NA WAKO WENGI WATAINGIA BARABARANI LAKINI KWA SABABU WAPO WACHACHE WATAISHIA KUBWEKA BWEKA MAANA WALIOWENGI WAMEKUBALI HUO UTARATIBU WA KUISHI..

CCM OYEE..
Walio wengi wakina nani. Acha upumbavu asee
 
Walio wengi wakina nani. Acha upumbavu asee

Inawezekana na wewe ummo maana kama ungekuwa hujakubaliana na huu mfumo ungekuwa au mgekuwa mshafanya kitu tofauti na kubweka bweka kwenye keyboard mkuu.
 
alafu wakisha itisha press conference wanawekwa ndani au wanatumiwa wasiojulikana hiyo ndio demokrasia?
Hajui wanaitisha press conference bcoz hawaruhusiwi kufanya mkutano na wanayoyasema kwenye press pia yakitangazwa media inafungiwa na wao wanafunguliwa mashitaka
 
watuachie nchi yetu hayawahusu.bado tuna hasira ya kutufanya watumwa na kubeba mali zetu
Kuwa na hasira na waliowafungulia mulango yooote waibe halafu c unawajua ni ccm wapeleke mahakama ya mafisadi si ipo? Usijitoe fahamu
 
Kwa mfano angekua amesifiwa malaika na CNN sijui ingekuaje
 
Back
Top Bottom