REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,896
Hahaha nyumbu ni nyumbu tuTusubiri tu. Habari za CNN zinasomwa na watu wengi wenye madaraka na wenye maamuzi ya dunia.
Hahaha nyumbu ni nyumbu tuTusubiri tu. Habari za CNN zinasomwa na watu wengi wenye madaraka na wenye maamuzi ya dunia.
Wakithubutu kuwakamata CNN usiku inakuja nyambizi kubwa mpaka feli ndipo mtajua USA ni akina naniWakawakamate na hao si wanachochea [emoji16]
Nyumbu ni CCM maana hata mbugani kule kuna Nyumbu wengi kuliko wanyama wengineHahaha nyumbu ni nyumbu tu
Endelea kuisoma namba.Wambie Tanzania demokrasia imetamalaki ndio maana upinzani wanashiriki kwenye uchaguzi wa madiwani katika kata 43 na wanapiga kama kampeni kama kawaida
Magufuli bila police na vyombo vyake vya dola ni mwepesi kama uji wa mgonjwa..But Magufuli is not only relying on repressive means to stay in power. He is also pursuing a program that revives his popularity.
Hivi na ww ni informer wa lumumba kumbe?to you, democracy starts and ends with conducting political elections? CCM wanafurahi sana wanaposoma maoni ya watanzania kama wewe na hata uteuzi unapata...narrow minded people
Magufuli has overseen numerous closures and suspensions of media outlets. His officials have encouraged and tried to exacerbate a split in the Civic United Front, by backing one side. His government has undermined judicial and parliamentary independence, implemented a partial ban on public rallies, harassed MPs, closure of online political space, and prosecuted critics under new defamation and sedition laws.
Together, these constitute major infringements on the freedom of expression and the opposition's ability to communicate with voters.
In March this year he announced at a press conference that:
"Media owners, let me tell you: 'Be careful. Watch it. If you think you have that kind of freedom — not to that extent'."
In part, this repressive streak is a return to form. CCM has a long history of authoritarianism. It has ruled Tanzanian uninterrupted since 1977, and its predecessor parties ruled Tanganyika since 1961.
But there is a more immediate reason that Magufuli is tightening the noose on the opposition. The opposition has never been so strong. In 2005, CCM's Jakaya Kikwete won the presidential election with an unassailable lead of 68% over the runner-up. By 2015, CCM's margin of victory had been shortened to 18%. For the first time in Tanzania's history, the opposition is a force to be reckoned with.
The most plausible explanation for Magufuli's authoritarian turn is that he is trying to minimize the possibility of an opposition victory in the future. Equally, every time he advances the anti-corruption agenda, he makes more enemies who might defect to the opposition. By narrowing space for opposition, he reduces the risk of them doing so.
But Magufuli is not only relying on repressive means to stay in power. He is also pursuing a program that revives his popularity.
Hao CNN kiboko yao Ni Trump . Wajinga sana hao watu
Mbona unapingana na wana CCM kindakindaki kama Nchemba wanaohubiri kwamba hakuna haja ya wapinzani kushiriki chaguzi maana wao sio wenye ilani kwa sasa...Wambie Tanzania demokrasia imetamalaki ndio maana upinzani wanashiriki kwenye uchaguzi wa madiwani katika kata 43 na wanapiga kama kampeni kama kawaida
Achana na hao CNN .Raisi DONALD TRUMP CNN huwa anawaita FAKE NEWS NETWOK (FNN) kawachorea hadi nembo Kwenye twitter yake
![]()
Mtu mmoja alipojitahidi kuwambia msipewe msaada mlimpiga risasi.Kwani wanalazimishwa kutuchangia, kiherehere chao ndio kinawatuma kutupa hela, kujipendekeza kwao ndio kunawafanya watupe hela...NI VIZURI MKAWALZIMISHA WASITUPE HIYO MISAADA YAO..MAANA HATA SISI HATUITAKI..
Mkuu kwani upinzani hawajasimamisha wagombea kwenye kata 43?Mbona unapingana na wana CCM kindakindaki kama Nchemba wanaohubiri kwamba hakuna haja ya wapinzani kushiriki chaguzi maana wao sio wenye ilani kwa sasa...