Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #41
alafu wakisha itisha press conference wanawekwa ndani au wanatumiwa wasiojulikana hiyo ndio demokrasia?Kungekua hakuna demokrasia Mngekua kila siku mnaitisha press conference? Au nyie demokrasia ni kutukana mitusi kutwa kucha?