CNN Poll: Trump anaongoza

Mbona Kinyatta Amekutana Lowassa. Mkuu iyo sio sababu....inch nyingi ambazo ni maadui wa marekani hasa China, Russia wanapigia upatu ili Trump awe Rais.
 
sasa hao asilimia 5 iliyobaki si ndo wanaweza...
 
Etii...eeehhh!!tell me more!!

Nakupa hints tuu, ukitaka taarifa zaidi utalipia.
Kipindi chake mawaziri wanawake au viongozi wakubwa wanawake ndio walipungua kabisa ni kama alibaki mwenyewe tuu.
Alibadilisha sera nyingi za mama na mtoto, na kufanya hata upendeleo walio kuwa wanapata kupungua,
aliwadis wapigania haki za wanawake wa huko UK alikuwa anasema wanataka kukimbia majukumu yao ya u mama tuu.
Sera zake zilifanya hali ya uchumi kuwa ngumu na wanawake ndo waliumia zaidi
 
Mi naamini Clinton atashinda, nitatoa sababu baada ya Presidential Debate ya kwanza tarehe 26September 2016
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziee!!
Wanawake tuna wivu wa wenyewe kwa wenyewe

Asante sana wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…