GE2025 CNN inaandaa ripoti ya mauaji yaliyofanywa na Polisi kwenye maandamano. Larry Madowo awataka Watanzania wamtumie ushahidi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu

Hii issue ishakuwa serious

--------------------------

Mtangazaji wa CNN, Larry Madowo, ametoa wito maalum kwa wananchi wa Tanzania ambao wamepata matukio ya polisi na magenge yake kupiga risasi na kuwaua raia wakati wa maandamano ya amani Oktoba 29,, kutuma video, picha na nyaraka zozote zinazoonesha ukiukaji wa haki za binadamu ili kuikamilisha taarifa ya uchunguzi wa suala hilo.

Huko Tunduma kuna miili imelundikwa kwenye godown. Miili 300 imefichwa hadi imeanza kutoa harufu ya hatarii.

Yani hata Paul biya wa cameroun na yahya jammeh wa Gambia hawajawahi kufanya unyama huu.

Hawa wauwaji wameua ili tu walinde madaraka na ufisadi wao.
 
Huyu mwanamke shwaitwan tutamshtakia kwa kipenzi chetu cha dhati asiependa dhulma kama hii....
 
Hahaha nimecheka asee
Screenshot_20251105_172516_Chrome.jpg
 
Wakuu

Hii issue ishakuwa serious

--------------------------

Mtangazaji wa CNN, Larry Madowo, ametoa wito maalum kwa wananchi wa Tanzania ambao wamepata matukio ya polisi na magenge yake kupiga risasi na kuwaua raia wakati wa maandamano ya amani Oktoba 29,, kutuma video, picha na nyaraka zozote zinazoonesha ukiukaji wa haki za binadamu ili kuikamilisha taarifa ya uchunguzi wa suala hilo.

Muulize ya Kenya ilikuwaje mbona ilimshinda?
 
Back
Top Bottom