mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Mkuu ni hatari tupu kwa kwel ila nilichogundua huu ugonjwa unaitaji ukute mfumo wa mapafu yanafanya kazi vizuri, kwaiyo tuanze mazoezi ya kukimbia kila tupatapo nafasi pia kwa wale wavutaji wa sigara kipindi hiki wahache tuAina ya hatari kufuta uhai wa aina fulani ya binadamu au wanyama.
Kwa mfano itokee aina fulani ya swara wamebaki kama mia na wanaishi kaeneo kadogo wote kwa pamoja, halafu kundi la simba lizingire hao swara, hapo ndio tunasema aina hiyo ya swara wapo kwenye "existential threat", maana watauawa wote, ifahamike simba hawatakua wakiua tu wawafanye msosi, ila wataua kila swara atakayepatikana hai.
Mfano mwingine ni ule uvamizi wa taifa la Israel kutoka kwa mataifa ya kiarabu, wale Waarabu hawakua wanakwenda kupigana na Israeli kijeshi, nia ilikua ni kuchinja chochote na yeyote mwenye damu ya Kiyahudi kama alivyofanya Hitler. Yaani chochote chenye hatari ya kufutwa kwenye ramani ya dunia ndio huwa tunasema kipo kwenya hatari ya "existential threat".
Kwa kifupi, Corona ina uwezo wa kutufuta Afrika maana inachofanya wenye uwezo zaidi yetu, unajiuliza hivi nini tunacho cha maana hadi ikatukwepa.
Kama ni kunawa mikono, wale wananawa mpaka basi, ilhali huku bado kuna vijiji na mitaa haina hata maji. Kama ni kuepuka misongamano, wale wamejifungia ndani kabisa, Afrika bado tunasongamana kwenye madaladala na madhehebu. Yaani tahadhari kwa wale zinachukuliwa za hali ya juu ila bado wanadondoka kwa maelfu, huku sisi tupo tupo tu, lakini anakufa mmoja baada ya mwezi.
Hujawahi kuniangusha kwenye mambo haya dada yangu kipenzi.Binadamu ana mucus kwenye njia ya hewa, hii ni sehemu ya kinga ya mwili. Hewa ikiingia na uchafu unakamatwa na mucus na uchafu ule unautoa kama kohozi.
Mucus goblets zikishambuliwa na virus ndiyo mafua yanachuruzika na huweza kukohoa. Maambukizi yakitokea kwenye mucus membrane husababisha kikohozi. Ndiyo maana unatumwa kikohozi ili wataalamu wagundue ni maambukizi gani.
Covid-19 hushambulia njia ya hewa na maambukizi huleta joto mpaka centi grade 38-39. Mucus goblets zinashambuliwa kwa kasi na Hutoa makohozi. Mapafu hukosa oxygen.
Afrika maisha yetu ni ya kufanya maoezi muda wote. Si kwa kupenda ni lazima utembee kwakuwa huna nauli ya basi na Gari huna. Mapafu yanakuwa imara. Pia vyakula tunavyokula ni organic.
Barikiwa sana mkuu kwa kunitafsiria...Yani Africa ipo kwenye hatari ya kupotea/kutowepo kwenye uso wa Dunia.
Existence = Uwepo, kuishi,
Threat = hatari, tishio.
Kufuta uwepo wa watu weusi ni jaribio lisilo jepesiMabeberu wameshaongea mara kadhaa.
Kifupi hawafurahishwi na uwepo wa bara hili. Watafanya kila wanaloona linafaa kutupoteza then watasingizia Corona.
Tujihadhari sana..
Bill G kashaongea several times.. Africans will die in billions.. They don't like our presence in this planet. Aarssholes
Hili swala ni kujikabidhi kwa mungu tu hizo kinga zote USA, itaria spain na nyingineso wanazijua na pia wanajikinga more expensive tofauti na kinga hizo mchwara iko hivi mungu atusamehee tu na hii corona atuache tu maana hii kula kwa jasho ni adhabu tosha ila sio corona ikifika tumeisha woteUkimfahamu adui yako ni rahisi kumwepuka. Watanzania tumeshagundua huu ugonjwa unaenezwaje hivyo ni jukumu letu kujikinga kwa njia zozote zile ili tusidhurike. Nawa mikono na sabuni, usishike mdomo, pua macho na uso wako wakati mikono yako sio safi. Usikumbatiane na mtu yeyote ambaye huishi naye anaweza kukuambukiza. Sasa tukishindwa kufanya hivi then tunasubiri mujiza? Watanzania tumeweza vingi itatushinda Corona? Tuache ujinga? Hii ni self hygiene ambayo tulifundishwa tangu tupo primary!
Kwa sasa tusiseme sana maana ule muda uliotarajiwa kwa Afrika kuangamia haujafika bado.Duuh hawa cnn wanatutafuta nin wafrika ila leo asubuh nimetazama aljazira wanasema UK kuna shortage ya medical equipment na New Yorke ICU zipo down zimelemewa, mpaka napatwa na woga
Kuhusu Afrika nafikir Mungu kaweka mkono wake tu coz endapo tungekua na maambukiz kama western countries basi mtaani kungekua na vifo vingi visivyoeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrica ...corona ingetusamehee tu maana , nikiona watu wanavyoishi maisha ya kuunga unga + corona naumia sana roho.
Ndicho mabeberu wanachotamani kitokee kwa ngozi nyeusi..Barikiwa sana mkuu kwa kunitafsiria...
Yaani Afrika ipotee kwny uso wa dunia kisa korona?
Hii sio logic wenzetu wangu ndio wanaongoza kufanya mazoezi na wanadondoka daily kule watu asubuhi na jion ni tizi tu na wengine wanashinda gym lakini wanadondoka sisi ndio kabisa hakuna desturi ya mazoezi na pia kumbuka takwimu inasema USA brack america ndio wanaongoza kufaBinadamu ana mucus kwenye njia ya hewa, hii ni sehemu ya kinga ya mwili. Hewa ikiingia na uchafu unakamatwa na mucus na uchafu ule unautoa kama kohozi.
Mucus goblets zikishambuliwa na virus ndiyo mafua yanachuruzika na huweza kukohoa. Maambukizi yakitokea kwenye mucus membrane husababisha kikohozi. Ndiyo maana unatumwa kikohozi ili wataalamu wagundue ni maambukizi gani.
Covid-19 hushambulia njia ya hewa na maambukizi huleta joto mpaka centi grade 38-39. Mucus goblets zinashambuliwa kwa kasi na Hutoa makohozi. Mapafu hukosa oxygen.
Afrika maisha yetu ni ya kufanya maoezi muda wote. Si kwa kupenda ni lazima utembee kwakuwa huna nauli ya basi na Gari huna. Mapafu yanakuwa imara. Pia vyakula tunavyokula ni organic.
tumekusikia.... kama wao na world class health care wamekamatwa hivi, ikifika kwetu per se tutafanya nini? weka kando neno wasitutishe...
Waafrica ...corona ingetusamehee tu maana , nikiona watu wanavyoishi maisha ya kuunga unga + corona naumia sana roho.
hakuna cha dharau, alichokisema ndio hali halisi kote barani afrika.Mkuu Wacha dharau.
Hata kama una Bima lakini ventilators hazitoshiUsiende mbali..ni wangap wana bima?..yaani bima tu kwetu ni shida...kutibiwa ni km betting vile .!dah..itupitie kushoto aisee
Umeona hiki kitanda. Hapo ukipelekwa oxygen imepungua mwilini ujue utapona kwa kudra za Mungu tu.sijawahi kwenda Mloganzila. Ila najua ventilator hawana na hata kama zipo, wakikuwekea akaletwa "kigogo" wanaondoa kwangu wanampa kigogo.
walifanya makosa kama tunayoyafanya now! Wanatutahadhalisha tusifanye makosa hayoKwanini wao wawe na uwezo wa kututabiria sisi kuwa tutakufa sana wakati wao ndo wanaongoza kwa vifo?