David Mamba
Member
- May 28, 2017
- 8
- 0
Yan cm yangu ya promo ya Alcatel zile ndogo za button ..inazingua haiwaki yan nnikicharge pia haingii ....na haiwaki na niliitumia kwa muda ila imeanza kusumbua hivi karibuni...naombeni msaada wenu kama mnaweza tambua tatizo nn nijue. ....wanna JF