Cm ya tecno p5 inasumbua msaada jamani

Cm ya tecno p5 inasumbua msaada jamani

Nyamkomogi

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
25
Reaction score
7
Hii cm kila mara inadisplay ujumbe huu UNFORTUNATELY MUSIC HAS STOPPED ikisha display hivyo inakuwa haiwezi kufanya chochote hadi niizime kisha niiwashe. nisaidien
 
Ndugu Nyamkomogi Kuna mtu pia alikuwa anapata error kama hiyo. Hii inavyoonekana ni kwamba Open apps zikiwa zinarun background zinaconsume kiasi kikubwacha RAM hivyo appszinaanza kucrash. Kuhusiana na kujizima kwa simu kunaweza kutokana hitilafu ya hardware/software, sina uhakika zaidi.
 
Last edited by a moderator:

kama tatizo ni ram kuliwa na background namshauri adownload app iitwayo du speed boaster naikubali sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom