Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Nakumbuka enzi za akina sensei Mawala na Malaika ...hawa jamaa kwa Dar walikuwa wanafanya shughuli zao pale YMCA na Shule ya Zanaki
Sasa najiuliza kama kweli hao niliowataja walikuwa na committment wameshindwa hvipi after all these years kutafuta sehemu hata central Dar chini ya mwamvuli wa foundation yao then wakapadizaini (Lat time I checked Mawala was a consultant wa majengo)...au waka lobby kisha wapewe mmoja kati ya majengo wanayokaa wahindi mjini?
I mean after all these years jamaa hawana sehemu decent ya kufanyia mazoezi na maonyesho yao ilihali matajiri kibao wanao mle au ndio mambo yetu ya internal politics? Jap sidhani kama hii ina nafasi kwani hawa watu wa martial arts wana discipline ya kusikilizana
unless Im missing something
hebu nijuzeni tafadhali