Club za Martial Arts Dar/Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Club za Martial Arts Dar/Tanzania

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Game Theory, Apr 23, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka enzi za akina sensei Mawala na Malaika ...hawa jamaa kwa Dar walikuwa wanafanya shughuli zao pale YMCA na Shule ya Zanaki

  Sasa najiuliza kama kweli hao niliowataja walikuwa na committment wameshindwa hvipi after all these years kutafuta sehemu hata central Dar chini ya mwamvuli wa foundation yao then wakapadizaini (Lat time I checked Mawala was a consultant wa majengo)...au waka lobby kisha wapewe mmoja kati ya majengo wanayokaa wahindi mjini?

  I mean after all these years jamaa hawana sehemu decent ya kufanyia mazoezi na maonyesho yao ilihali matajiri kibao wanao mle au ndio mambo yetu ya internal politics? Jap sidhani kama hii ina nafasi kwani hawa watu wa martial arts wana discipline ya kusikilizana

  unless Im missing something

  hebu nijuzeni tafadhali
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwa kupokonywa, kutaifishwa, au?!

  Or... why don't they just approach one of the well performing social funds in the country to erect a deservingly permanent home for them!!
   
 3. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  acheni wahindi wafaidi majengo ya mjini kwa raha zao, ujinga wenu wabongo ndio unaowamaliza, mkija kuwa smart kama wahindi ndipo mtastahili hayo, lakini nyinyi hamna time ya maendeleo, mnafikiria urahirahisi tu, uvivu, jeuri, kulakula ovya na vyakula vyenyewe mataputapu si mnaona vitumbo vya mafuta na hewa kooote nchini? kazi kuongelea siasa tu? hamna ubunivu hata wa kutengeneza viatu au vibiriti? wenye vihela hukimbia dubai kununua takataka badala ya kuanzisha kiwanda kiddddogo au kilimo japo cha mbogamboga? pole africa, kwa kweli itachukua muda.....
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  manina
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  ni kweli Mkuu, nilikuwa naona Sensei Henry akiwa na Dojo yake pale Mazense na kuna kipindi Sempai Magoma alikuwa na Dojo yake maeneo ya Kinondoni akiwa na style yake mpya aliyoianzisha mwenyewe
  Pia kulikuwa na Jamaa wa Temeke Judo, sijuhi waliishia wapi lakini kwenye 80's walikuwa wapo juu sana
  Mawalla nadhani hata hayo mambo keshaacha, maana mara ya mwisho nilipomuona alikuwa na mwili wa kizembe kabisa,
  lakini Mkuu una point hao jamaa walianza zamani wakati hata nyumba na viwanja vilikuwa chini sana,
   
Loading...