Club E

feis buku

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
2,341
Reaction score
677
Ni taarifa tu wakuu kujuzana yanayojiri bongoland sio mbaya hususan kwa wapenzi wa burudani ! leo jion MLIMANI CITY club e' atakuako FALLY IPUPA! Kwa wale members woote wa club e' shangweeee!!!!
 
ile sigara inayoitwa club?
lakini mwita mbona unakuaga ivyo jamani ww mwana yan ww macoments yako siku zote yanafanana na macho yako! Ebu badilika bana !!!
 
lakini mwita mbona unakuaga ivyo jamani ww mwana yan ww macoments yako siku zote yanafanana na macho yako! Ebu badilika bana !!!

Siyo hivyo! Unajua mimi huwa napenda sana kuwa member wa hiyo Club lakini sifahamu utaratibu wa kujiunga. Nasikia kuwa kama siyo member unakuwa hauko eligible for their events.
 
Siyo hivyo! Unajua mimi huwa napenda sana kuwa member wa hiyo Club lakini sifahamu utaratibu wa kujiunga. Nasikia kuwa kama siyo member unakuwa hauko eligible for their events.
kwa mara ya kwanza leo mwita umeongea kistaarabu ! ningekua na commplimentaly nimgekugaia mtoto ww! waweza kuja kutakua na viingilio kwa wasiokua members naamini haizidi 30,000/= vyakula vinjywaji its free na itakua muda mzuri wa ww kujiregist na kujua meengi yahusuyo CLUB E! KARIBU MWITA 25!
 
Nipo Mombasa, nitahudhuria kama watakuja Dodoma.
 
FB, Unamiliki hisa ngapi huko?...Au ulifaulu ile intavyuu ya PRO waliyotangaza?
aah! PJ wanionaje ww!! we njoo bana wanaweza leo kua na pro yao ukawa na ww nI miongoni mwao! tena ntakupigia kura mwana JF
 
Kweli bana!
Wenzetu wanatambishiana hiyo sijui nini club, eti sijui Milimani gani sijui!!!
Ningoje Sundown pale, tukitoka hapo muda utakuwa unaruhusu!

umeona......leo tunaomba umemba kabisa mwambie na preta itasaidia kuendelea kumkipu bize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…