Clouds yaipotezea UKAWA

Kweli wasisome tuuu Ukawa ndo mchwa gani hao?


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Mme clauds studio ni kama the Naked Tv ya South Africa, unashindwa kutofautisha kati ya kuangalia uchi na maneno yao
 
Mi naona hayo ni maoni binafsi ya mtangazaji japo hayakutakiwa kusema kwenye chombo ambacho hakina upande!

Sidhani kama hii ni kauli ya clouds fm na wala wasihukumiwe kwa kauli ya mtu mmoja!

Lakini hata hivyo ni kweli ukawa wana tafuta kick, kukimbia bunge ni kuwasosha wananchi nafasi ya kuwa kilishwa!

Babra ametoa maoni yake na yana ukweli fulani!
 
Ndio maaana mimi silisikilizi hilo li-claud FM. Ni kama magazeti ya Uhuru na nduguze nisivyoyapenda.
 
msipoteze muda na hii redio ndio walewale wauza sembe hao kila kitu ni cha ccm wanalipa fadhila bado hayo waliyo kalia
 

We nae mbwiga kweli,akiriyako unawaza machafuko yataletwa na Ukawa au Ccm?.Anyway nyie ndio moja ya mliofanikiwa kujificha huko Dar na ndio maana hiyo Dar watu wengi nivilaza Kama wewe
 
Clauds fm rasmi leo imetangaza rasmi kuwa ni radio ya ccm na sasa kuungana na radio uhuru na gazeti la uhuru kufanya kazi ya uenezi wa ccm. Akiongea katika kipindi cha power breakfast wanadai hawataangaza tena habari za ukawa. Hii ndio readi pekee inayojinadi kwa umbea na unafiki kama watu wasio na kazi za kufanya imejaa majungu na haina tija kwa jamii ya watanzania kila siku wenyewe kugombana na watu mara wasanii mara sijui wanasiasa mara vile sasa hawa jamaa wao taaluma yaop ni ugomvi tuu kila siku duu.
 
Kuna mai nte ra ha mwe na vi Inte ra ha mwe hivyo vyote ni wakala wa ccm na mkuu wao ni shetani maana hapendi kuona wananchi wakinufaika na nchi yao chunga sana ccm ni hatari kwa afya yako
 
Hivi nchi ina radio moja tu clouds? Mbona inawawasha sana wafuasi wa CDM? Kwanini msianzishe radio yenu na nyinyi? Kazi kuja kulialia kila siku hapa clouds clouds tumechoka
 
Kila siku mnapeana Maazimio msisikilize Clouds lakini ndio wa kwanza kutuletea Walichotangaza.Kuweni na Msimamo
 
Mdomo mrefu kama chupa kazi umbea tu kaa ukijua kuwa umbea hausaidii kitu hii ni redio ya watu hulazimishwi kuisikiliza kidampa wewe,kasome tanzania daima basi gazeti la mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…