Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
NILIFURAHI NA NLIMUONa HUYU MTOTO KAMA SHUJAA .< Umewahi kumuona kwenyeTV yao?
Nilikuwa nasikia tu sauti yake nikawa naimagine ni mdada mzuri mwenye swagger duh nilistaajabu nilivyoona picha yake kwenye blog moja hivi aiseee sauti na muonekano wake ni vitu viwili tofauti
Clouds=tbc=uhuru=mzarendo=habari leo=ccm.
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.
Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?
Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?
Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??
Nawasilisha.
Nilikuwa nasikia tu sauti yake nikawa naimagine ni mdada mzuri mwenye swagger duh nilistaajabu nilivyoona picha yake kwenye blog moja hivi aiseee sauti na muonekano wake ni vitu viwili tofauti
Ha ha ha Honey Faith.. Sipati picha kaka yako anakuja kujidai kwako kwamba kapata bonge la mtoto kwa sauti tuu.. Halafu siku ya siku unapata bahati ya kukumbana uso na uso na wifi yako lol..
Ha ha ha Honey Faith.. Sipati picha kaka yako anakuja kujidai kwako kwamba kapata bonge la mtoto kwa sauti tuu.. Halafu siku ya siku unapata bahati ya kukumbana uso na uso na wifi yako lol..
Nitaheshimu hisia zake si unajua uzuri wa mtu uko machoni?Na haya mapenzi hatuangalii sura ni moyo ila kama angekuja kuomba ushauri nahisi nisingemshauri
Radio tbc ,
Radio clouds
Gazet la uhuru
Jambi leo,
Na wewe!!
Hamtoweza kuwatangaza ukawa Maana mnakula pamoja,
Na ukawa tishio lenu
sijibu maswali yasiyo na kichwa kama hayo....kama unajua maswala ya takwimu najua utaniambia uwiano wa watu wane(mbwiga, babra, pj na hando) wanatosha kuwa sample ya watu zaidi ya million 40. ilibidi nisikujibu ila nimeamua tuWananchi ni nani? Au wewe ni mwanachi na wao si wananchi?
wewe na hao power breakfast mmepokea bahasha toka lumumba. UKAWA waende kujadili rasimu ya ccm?! tume ya Jaji Warioba iliwasilisha rasimu ambayo ccm hawaitaki na wamefanya uhuni kwa kutumia wingi wao kuihujumu. Ukawa Ni wazalendo kama Jaji Warioba na team take.
Uyu mleta mada anaakili timamu kweli?anazani wa2 wote ni wavivu wa kufikili kama yeye?
sijibu maswali yasiyo na kichwa kama hayo....kama unajua maswala ya takwimu najua utaniambia uwiano wa watu wane(mbwiga, babra, pj na hando) wanatosha kuwa sample ya watu zaidi ya million 40. ilibidi nisikujibu ila nimeamua tu
Nilikuwa nasikia tu sauti yake nikawa naimagine ni mdada mzuri mwenye swagger duh nilistaajabu nilivyoona picha yake kwenye blog moja hivi aiseee sauti na muonekano wake ni vitu viwili tofauti
Siyo mbaya mbona my dear Honey Faith, ila ni mfupi mnene amejazia hips pia hajichubui, ila ni mkubwa sana kwako.