Clouds Wanadhalilisha Taasisi ya Urais


Mijitu mingine bana sijui ilikuja duniani kufanya nn maana hayajui chochote kazi kufuata mkumbo tu!

Sikia wewe kaole tukufundishe ethics-Haitakiwi kutumia kitu chochote toka kwenye taasisi ya Ikulu kwa faida ya watu wachache!Hiyo ni sawa na JK kuwasadia Clouds kwenye biashara zake!Kuna watu kama ww wanapenda sauti ya JK kwenye hilo tangazo la Clouds so watafungua radio na TV zao na kufanya views waongezeke na wao kuongeza bei ya matangazo yao!Lkn ww huyajui haya nakuonea tu bure kukueleza!

Sijapata kuona hapa Obama eti anachukuliwa sauti yake na MSNBC waweke tangazo labda awe amenunua mwenyewe hasa kipindi cha uchaguzi!

Ikulu yetu imevamiwa!
 
Ni kweli kabisa, lakini kwa nini kila wanachofanya clouds fm kionekane kibaya?!!
hapo kwenye red tatizo ni wanyonyaji na hawataki kukubali hili, pili ina watangazaji wa radio haina waandishi wa habari.
 

Kaka haya ndo madhara ya kutofundishwa maadili kwenu,,, tukiwa wadogo wazee wetu wanakuambia mwiko kula kwa watu hata kama una njaa,,,na sio ukikaribiswa basi we umoo tu, pilau we ndani, ugari ukiitwa unaenda kula! sasa presida anabidi aangalie na ashauliwe au akatazwe na kabinet yake mapema,,, kitu maadili ya uongozi....mjomba hapa hufai kwenda hii usile,,, hapa usile,, hiki acha. huyu mtu anawashuri wake nae mwenyewe apime kuna tija? sio kila sehemu anatia mguu kisa kaalikwa. hii kitu angeweza kuenda hata Jerry slaa tu alafu ikawa poa hii mijadara ya kudhalilisha taasisis ya magogoni isingekuwepo. Kuwepo mipaka ya dhiara, washa na makongamano kwa huyu mzee hotel anazindua yeye, bank nk. ofisini anakaa saa ngapi?
 
Nimegundua watz kila jambo zuri wao kwao baya,kusaga bro umejitahidi sana,haya mawivu ya watz yanapita tu keep it up
 

mkuu umeandika vema sana umemaliza kila kitu kabisa
 
Naomba Mwenyezi Mungu aniweke hadi 2016 ili niwaone Wa TZ watakavyokuwa wanamkumbuka JK.

cc. Ritz naomba uje unikumbushe, muda ukifika inshallah!!
Aisee nilikuwa nasoma hizi posts huku nacheka. Wengine wanaomponda humu ndio wamekuwa vinara kumsifia sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…