kwasababu ni wabayaNi kweli kabisa, lakini kwa nini kila wanachofanya clouds fm kionekane kibaya?!!
Ni kweli kabisa, lakini kwa nini kila wanachofanya clouds fm kionekane kibaya?!!
Hadi kwenye Fursa nadhani yupo heunda na hisa huko.
mbaya kwako inaweza ikawa nzuri kwa mwinginekwasababu ni wabaya
mbaya kwako inaweza ikawa nzuri kwa mwingine
sasa kama hawajui kufanya vizuri tufanyeje , ama labda tuwasaidieje?Ni kweli kabisa, lakini kwa nini kila wanachofanya clouds fm kionekane kibaya?!!
kwani clouds wamefanya nini , kilichomsukuma rais kuwasifia au hata kilichokusukuma wewe kuwatetea ? huu utapeli wa maneno ndiyo unaokuchanganya ? kuna fulsa kubwa kama muziki wa kizazi kipya ? mbona wao ndiyo wanaoongoza kwa kudhulumu wasanii ? hebu fuatilia kidogo tu ugomvi wao na lady jaydee , hakuna cha fulsa wala nini ! ni kauzibe kwa kwenda mbele , isipokuwa wanasiasa wanatumika bila kujua malengo halisi ya clouds , TAFAKARI !Kinachofanywa na clouds ni swala ambalo pengine serikali kupitia wizara ya kazi na vijana ingeweza kuwa imefanya. Lakini kwa wao kama private sector wamefanya uzalendo. Ndo maana Rais amewaunga mkono na kuwapongeza. Ile inayorushwa ni clip ya sauti ya rais akiwapongeza wakati wa kuhitimisha fursa. Sioni kama kuna ubaya wowote kufanya hivyo.
Acha jazba mkuu........hadi maneno yako unayachanganya? UKULU...........Na hata hivyo, unatuambia tulichagua wahuni na machekibobu kwenda Ikulu? Kweli?Mwl Nyerere aliwaambia ukulu si mahala pa wahuni na machekibob nyie mkamuona anawivu na chuki kwa kaka mkuu.. Haya sasa na mtashuhudia mengi
Utaonaje wakati na ww ni wale waleKinachofanywa na clouds ni swala ambalo pengine serikali kupitia wizara ya kazi na vijana ingeweza kuwa imefanya. Lakini kwa wao kama private sector wamefanya uzalendo. Ndo maana Rais amewaunga mkono na kuwapongeza. Ile inayorushwa ni clip ya sauti ya rais akiwapongeza wakati wa kuhitimisha fursa. Sioni kama kuna ubaya wowote kufanya hivyo.