Kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!

😛oawaache watapeliwe...waliona uzalendo ni kuwatosa wazawa VINEGA na kwenda kwa DMX? tunawadharau wazawa na kuona wasanii wa nje ndo bora and then tunalalamika wasanii wa ndani hawaendelei! :A S-coffee: