Clouds Tv

Clouds Tv

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
687
Mi nawakubali sana clouds tv.jaribu kuangalia kibwagizo cha shukrani ambapo watu mbalimbali wanatoa shukrani zao kwa mwaka mzima .kuna wimbo unaimbwa kwa mbali unasema asante mzuri sana na sauti nzurii saana jaman .nawapenda clouds
 
sometimes jf nao wanaboa bhn thread gani hii ya kutangaza biashara za watu kupitia jf???
 
Kuna mijitu mingine humu ndani basi tu, hebu toa upuuzi wako .
 
shule hazijafunguliwa tu jamani,mheshimiwa ndalichako hebu rudisha tuisheni mashuleni hawa madogo wakikaa nyumbani wanaleta upumbaavu
 
Back
Top Bottom