Clouds TV sasa kupatikana DSTV

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
4,433
1,768
Hii nimeipata muda si mrefu kutoka kwa Ruge. Nawapa hongera sanaaa.

Channel 294..


1452712978248.jpg
 
Segment ya Jicho la Mwewe nicho kitu nitakachofaidi kuanzia Leo.

Kama habari hii Ina ukweli!
 
ch10 sio bure mkuu. Channels za bure ni #409,448,449 tu ambazo ni za kichina. Hakuna local channel ya bure
 
Back
Top Bottom