Clouds TV sasa kupatikana DSTV

Clouds TV sasa kupatikana DSTV

Warekebishe kwanza sauti yao! Ktk Tv zote za tz, clouds wa sauti mbaya! Vipindi vyote vya clouds tv sauti ni nyembamba hata iwe ktk sub woofer, itatoka kasoro na zingine!
 
Hakuna chaneli yoyote ya bure DSTV isipokuwa #101
CCTV mkuu.
Kuna siku niliboreka nikawa siamini hela yote ile imeisha kabisa. Nikaijaribu station moja baada ya nyingine. Haha
 
Hongereni clouds tv kwa kujitanua katika soko la kimataifa kwa kujiunga na DSTV, kujiunga na DSTV ni jambo moja na kuboresha vipindi vyenu ni jambo lingine.

Haya wakongwe wa burudani EATV a.k.a channel 5 na nyinyi tunawategemea kujiunga DSTV muda si mrefu, Dr Mengi aache ubahiri
Kimataifa wapo muda wanapatikana katika satellite ya eutelsat 3 ambayo inapatikana Africa nzima
 
Huyu mzee na EATV atakubali kweli alivyo mtata ,ITV YENYEWE ILIKUWA MBINDE KUINGIA KWENYE VINGAMUZI VINGINE


ntamshangaa sana asipoiingiza EATV maana hata jina linajieleza East Africa Television, sasa kwa brand kama hiyo inakosaje kuingia duniani (dstv) . au mengi labda kaamua kuipush ITV kisha anajichanga kwa eatv.
 
Last edited:
Back
Top Bottom