Clouds TV sasa kupatikana DSTV

Clouds TV sasa kupatikana DSTV

Proof hiyo hapo
 

Attachments

  • 1452712978248.jpg
    1452712978248.jpg
    40.3 KB · Views: 32
Mmmh ngoja tuone kama ni kweli..
......Au manone 2..,,

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyu mzee na EATV atakubali kweli alivyo mtata ,ITV YENYEWE ILIKUWA MBINDE KUINGIA KWENYE VINGAMUZI VINGINE
 
Mmmh ngoja tuone kama ni kweli..
......Au manone 2..,,

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Ni kweli mkuu baada tu ya kupata taarifa hizo nimejaribu hizo namba 294 saivi imeonyesha clouds tv lakini haijafunguka rasmi,,,,
 
Ni hbr njema. Je wana vpnd gan vzr?
Na hili ndio tatizo! Ukiuliza ni vipindi gani vizuri unaweza kosa jibu! Mimi huwa nafatilia tuu mahusiano. Lakini wanahitaji kuwa na vipindi. Kuonekana Dstv si tatizo!

Wateja huvutiwa na vipindi si aina ya king'amuzi....azam tv,continental ,startimes na Digitek vinamtosha mtu kupata wateja wengi!

Watanzania walio wengi hawana uwezo wa kununua vifurushi vya DSTV labda kama unafanyia biashara.
 
Hongereni clouds tv kwa kujitanua katika soko la kimataifa kwa kujiunga na DSTV, kujiunga na DSTV ni jambo moja na kuboresha vipindi vyenu ni jambo lingine.

Haya wakongwe wa burudani EATV a.k.a channel 5 na nyinyi tunawategemea kujiunga DSTV muda si mrefu, Dr Mengi aache ubahiri
 
Back
Top Bottom