Clouds TV mnatia aibu!

Wana muda mrefu lakini hawajifunzi tu na kubadilika.........!!!!
 
hawa jamaa bado kabisa kwenye upande wa tv kuanzia taarifa ya habari ni kama ngonjera au kama mtu anasimulia hadithi then upande wa graphics wapo nyuma sana compere to EATV

Hawana ela ya kunuulia mitambo ya kisasa ngoja wazichange kutoka kwa wadhamini kwnza
 
Maandiko yako yana reflect ubongo wako. La pili A utamaliza lini maana kuandika tu bado issue

Yote kwa yote,niwe nasoma la pili A, au sikusoma kabisa mimi sijali maana kuandika nako ni fani, sikusomea uandishi ila nimegundua hii redio na TV yake mnaipenda, ndomaana mnajua vipindi vyake na watangazaji wake karibu wote kwanini Cloud tu. mimi binafsi pale radio nasikiliza michezo,na jumapili nakaa pale kuanzia saa nane mpaka saa 10 basi kwenye TV sina kipindi taarifa ya habari Naangalia Startv, ITV, TBC,CH10 na Azamu tv, kama cloud hawasomi taarifa habari kwa sio shida. Watanzani tuache majungu, tuache cloud wafanye vipindi vyao ndo tofauti ya tv station si lazima maudhui yafanane.
 
clouds hawana jipya kuanzia tv mpaka redio matangazo kibao na mtangazaji akisema kweli unawekwa pending kama dinamarios wa leo tena

Tupe kisa icho cha dina marios
 

Mkuu mi naangalia taarifa za TV IMAAN. Sa sijui tutaita taarifa ya habari au tuite taarifa tu.
 

hahaha ndo hilo lenye midevu ya duara anatangaza utafikir yupo kwenye kikao cha harus...halafu anajionaga downtown wakat mwonekano una mprove wrong!!!
 
Hahahaaaaa!Hawa wenzetu wa media na macelebrities wana kazi sana, huyo jamaa pia simkubali halafu hua ana kama kujisikia flani hivi!

ndo hivo mkuu..mi nafkr anashindwa kujielewa yy ni mtu wa aina gan ndo maana hicho kiti kinampwerepweta
 
Clouds naona ni wajanja tu,wamelenga audience ya vijana watoto wasiojielewa,kwahiyo wame dumb down makusudi kuendana na audience yao isiyo na IQ ya kutosha

Nadhani audience yao ni hiyo hiyo ya Shigongo,na ndio wanaitaka....ila sidhani kama ni very sustainable in a long run....
 
hahaha ndo hilo lenye midevu ya duara anatangaza utafikir yupo kwenye kikao cha harus...halafu anajionaga downtown wakat mwonekano una mprove wrong!!!

anaitwa Hudson kamoga...hana ufaham wa mambo mengi sana...hafai Kuwa muongoza kipindi...anajiona sana...kama wasemavyo wahenga ..mjinga hucheka Mara mbili..ndivyo alivyo huyo jamaa ni bogus hatar ila yeye anajiona kama anaweza....hajishughulishi ili kupanua ufaham wake...
kwa kweli hatoshi kwenye kile kipindi..
 
we utakua adam ww kwa ulivyoandika unatetea upuuzi
 
Habari kamili utazipata eatv/itv/startv na azam two tu cloudz wanafaa muzki na kiduku
 
Ajabu ni kwamba bado mnatazama vipindi vyao!! Inawezekana wanachokitangaza kina-reflect akili za Watazamaji wao
 
Labda mm fikra zangu ni finyu.lkn sidhan kama kuna radio/tv station inayoweza toa huduma na kuridhisha watu wote,inawezekana wakawa wa bovu kwenye taarifa ya habar lkn wakawa wazuri kwenye burudan.na burudan ni tasnia kubwa.inawezekana wakawa wazur kwenye mziki lkn michezo wakaharibu.ninachosema tuna optn ya kufanya uchaguz kulingana na maitaji.kama watakosa wasikilizaji/watazamaji effect ni yao.maana hata wadhamini wa vipindi wanaangalia zaid coverage &usikilizwaji
 
Ushawahi kuona wapi habari inaanza na hadithi.

Hata kwenye radio

Msoma habar mmoja somebody Kombe ye lazma aanze na stori ndo habari,sijui ndo taaluma yao inasema hvo? Kama ndio basi vtuo vngne wanakosea....uzur wa clouds ni much know hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…