white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,883
- Thread starter
-
- #61
Kwanini huu muda mnaotumia kusema watu msiutumie kufanya mambo ya maana labda nchi itaweza kuendelea
kuna lile linafuga ndevu za duara yaan kuchwan ni mweupe...anajiongelesha tu yule anafaa kutangaza habar za kilimo
Haha..Clouds wamekaa kimbea tangu zamani..Watoto wa magorofani.Hata watazamaji na wasikilizaji wa radio yao wana upeo mdogo sana...kuna siku niliona bahati mbaya sehemu mida ya asubuhi..kuna jamaa wawili..mmoja km katoka kijiji anakimbizana kufanana mjini,wa pili km wa mjini ila ana sura fulani ya kisavimbi ya watoto watoto wa majini ambao wakikaa getini huwezi mwona boss kwa jins wanavyobana...huwa wanaboa km watoto wa kike.Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! Kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!Mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! Kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!
Kwanini huu muda mnaotumia kusema watu msiutumie kufanya mambo ya maana labda nchi itaweza kuendelea
Wako mbioni kuanzisha kipindi kingine kiitwacho Jicho la mamba.sio hivyo mkuu, unajua wao taarifa ya habari huwa ni mapema saa. 19.30hrs,sasa wakati nasubiria baba lao ITV, naona ngoja ni tune hapo!! yaani ni majanga kweli taarifa ya habari nzima una leta habari moja??! wakati kuna matukio mengine makubwa yametokea hapa hapa dsm, hawana!! mala jicho la mwewe!! kwanza kuna kipindi waliaanza na simulizi za babu kabla ya habari husika,. Yaani ni full comedi, ila leo ndio wameua kabisa habari moja tu taarifa nzima!!
Hahahaha... Mimi yule dogo wa top 20. Yani hata kama nahasira najikuta nacheka. Uwa anaongea kama kajaza popcorn mdomoni.. Clouds wanahitaji mtu kama tido aje awapike. Ovyo evrythn.
nifah umerudi mumie jamani i mic u people, na warumi nae alisepa nilibaki na diva tu. WelcomeHahahaaaaa!Hawa wenzetu wa media na macelebrities wana kazi sana, huyo jamaa pia simkubali halafu hua ana kama kujisikia flani hivi!
Wap mkuu matangazo kibao kila dakika tangazo ndo maana wanaojieliwa wanaondoka kama gadna na ibrahim massoudEe upande wa radio nawapa 100
Nchi ya ajabu hii, ina watu tunajiona tunaelewa kuliko uelewa wenyewe, tunajifanya wademokrasi, wakati hatuijua nini demokrasi, mkiwa mpeznzi wa mwanacha chama kikine wewe ni kibaraka. Ala bila aibu tunadhani kila redio, au tv lazima wasome taarifa ya habari, kama ITV bila kujua habari zinaweza kuwasilishwa kwa njia mbalimbali, hii nchi kwakweli watanzania tuko nyuma sana kwa hali hii ya chuki tulionayo, hivi uhuru tunaoulilia ni upi, kwanini ufungue TV yenye vipindi visivoendana na wewe, Watanzania Tuache majungu fitna, buni shuguri zako.
Wako mbioni kuanzisha kipindi kingine kiitwacho Jicho la mamba.
mkuu huwa wanapita humu jf xo kuwarekebisha co mbaya nchi tumewaachia mafisadi ccm wafanye wanavyotakaKwanini huu muda mnaotumia kusema watu msiutumie kufanya mambo ya maana labda nchi itaweza kuendelea
mkuu huwa wanapita humu jf xo kuwarekebisha co mbaya nchi tumewaachia mafisadi ccm wafanye wanavyotaka
sio hivyo mkuu, unajua wao taarifa ya habari huwa ni mapema saa. 19.30hrs,sasa wakati nasubiria baba lao ITV, naona ngoja ni tune hapo!! yaani ni majanga kweli taarifa ya habari nzima una leta habari moja??! wakati kuna matukio mengine makubwa yametokea hapa hapa dsm, hawana!! mala jicho la mwewe!! kwanza kuna kipindi waliaanza na simulizi za babu kabla ya habari husika,. Yaani ni full comedi, ila leo ndio wameua kabisa habari moja tu taarifa nzima!!