Si wao tu hapa tz hata redio nyingi ni ujanja ujanja tu mfano taarifa ya habari radio one saa 7 mchana huwa haizidi dkk 5 imekwisha!kana kwamba hakuba habari/matukio sasa saa 7 hiyo jaribu u tune Dw idhaa ya kiswahili habari ni mpaka saa 8 tena za dunia na cha ajabu wanatangaza kwa mapana zaidi habari za ndani ya Tz na afrika mashariki vizuri mno! Utashangaa ni redio ua nje!..kwetu hapa ni afadhali ki redio kidogo cha Wapo Fm kinajitahidi sana coverage za matukio mbalimbali nchini na nchi jirani kuliko radio zilizojaa sifa