Clouds TV, hamuoni habari za mikoa mingine?

Naangalia news ya saa tano hawa majamaa wamefunika. Nchi hii ilivyo kubwa wao wanaona Dar tu! Maana hakuna habari hata moja ya nje ya Dar. Wao na ziara ya Dar mpya tu na Makonda. Aisee yaani mikoa yote ya Tz haina habari kabisa? Kweli ITV ni Super Brand.
Dar ndo Tanzania.ataangalia nani habari za mikoani?
 
Hata msomaji wa TAARIFA ni mmoja to siku nying, yaani ukikosa taarfa ya habr ITV bora uingie Jf sio clouds!
kumbe nawe unalionaga ee. hakunaga watangazaji Wengine .mm nimeihama. Nikichelewa taarifa Ya ITV. namwangalia Salim kikeke basi.
 
Naomba kujua jinsia yako mkuu, maana huo msemo .....'uwiiii' sijui kama ni sahihi ww kuutumia.
Mkuu unataka kunyonya dudu? Inategemea na wewe ni wa mkoa gani...sisi 'kumwitu' huo ni msemo wa kawaida sana
 
KiTv cha hovyo sana hicho kazi kufanya majungu tu na kulamba miguu ya watawala
yaaani wako hovyo sijawahi ona watu kama wa katv hako yani aibu,na tangu wafuatiliwe kiduchu na mkulu ndo baasi tena hadi aibu,nilikishangaa walikataa kurusha live fiesta punde mkulu alivyotania tuu kuwa wakipenda ataangalia tuu akiwa magogoni duuu si wakaachia live aisee yaani ni mabwege sijawahi ona duniani
 
Back
Top Bottom