maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,143
Naangalia news ya saa tano hawa majamaa wamefunika. Nchi hii ilivyo kubwa wao wanaona Dar tu! Maana hakuna habari hata moja ya nje ya Dar. Wao na ziara ya Dar mpya tu na Makonda. Aisee yaani mikoa yote ya Tz haina habari kabisa? Kweli ITV ni Super Brand.