Clouds Tv bora liende tu

Clouds Tv bora liende tu

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,110
Jione hii leo nikasema ngoja niangalie Taarifa ya habari Clouds TV. Kweli ilipotimia saa tatu na nusu ikaanza kupiga mbiu yake ya mgambo kuashiria muda wa kupata News. Lakini baada ya kusoma habari ya kwanza iliyohusiana na ufunguzi wa Barabara ya Tegeta uliofanywa na Mheshimiwa Rais ikafuatia habari ya pili ya SIKU ya wazee.

Niimeiangalia hiyo habari hadi nikasahau kuwa nipo kwenye Taarifa ya habari kwani iligeuka kuwa kipindi maalum. Nadhani kwa wale watazamaji wa Taarifa za habari watanielewa ninamaanisha nini.. Ndio maana nasema NI BORA LIENDE
 
Clouds tv bado saaaaaana.........EATV ni noumaaaa......Radioni Clouds bado wanafanya vizuri kihalisia lakini upande wa Tv kuna kazi nzito ........
 
Washenzi sana wale wezi wa Idea za Watu...watu wengi wanasugua vichwa kubuni Idea za Vipindi wao wanachukia hivyo vipindi kisha wanakuambia hakiendani na mifumo ya vipindi vyao...baada ya mda mfupi unakikuta kipindi hicho kipo Hewani au wamekigeuza kua Kampeni yao...kuna siku nilikua na wadau flan nkaambiwa kumbe hata hii Kampen ya Fursa...wamechakachua Idea ya watu...mwisho wa siku wao wanatengeneza hela kupitia mawazo ya wabunifu wachanga...
 
Nyinyi mtakalia majungu tu wenzenu wanazidi kufanya mambo yao na kuingiza mikwanja kama haipendwi na watu mbona wana matangazo mengi sana kwanza na nyinyi mnaowatukana clouds ndio watazamaji wakubwa , mimi ninaona wako vizuri tu. kwani kosa lao liko wapi kila TV na utaratibu wake kama hupendi kuangalia si unaacha, hapa TZ zipo tv nyingi wewe nakushauri uwe unaangalia Chagadema TV. Inayotangaza siasa mpaka unachoka.
 
itakuwa katoka bush huyu
 
Huyu atakua yupo usingizini tumsamehe bure...ameropokwa tuu ni mawenge ya usiku tu yanamsumbua anaweweseka na kuropoka asivyovijua
 
iyo tv inapatikana ktk king'amuzi gani?
 
iyo tv inapatikana ktk king'amuzi gani?
hawa bwana sijui wana nin kuna kipindi walijitoa star times wakizani huko walikoenda wataongeza mauzo ya ving'amuzi vya wadau wao, weee walirudi mbio star times baada ya kuona kuona hivo ving'amuzi havitoki na wao ndoo wana didimia
 
Watu bwana ! Umeuliza maudhui ya hiyo tv ninini? Au ndiyo ile ya kitanzania kudharau vya watu na kulalamika bila majibu.
 
Back
Top Bottom