Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Davido amwombe msaada domo..we umelewa nini!!!..Davido anafanya makolabo na akina Chris breeze huko majuu jamaa yenu kakazana kukopi na kupesti,anafanya kolabo na wakongoman
Una akili timamu ?

Huyo Chris Brown ni mmoja ya wataalamu wa kufanya sampling nyimbo za wengine. Muwe mnafanya utafiti kabla ya kukurupuka
 
Wasafi ile show ya kijinga unalipa 10000 unaenda kusikiliza sound mbovu,utaona tarehe 8 wanaume tunavyofanya yetu
Wasafi ile show ya kijinga unalipa 10000 unaenda kusikiliza sound mbovu,utaona tarehe 8 wanaume tunavyofanya yetu
Sio kwa ubaya ila clouds kama wamechanganyikiwa na balaa zitoo wangesoma madhaifu walioyaona. Juz Upande wa pili alaf ndio wangejipanga vzr #mfano walete live 100parcent alaf .Alist yao isiwe na wasanii wa bongo tu .watu wameshawazoea kila cku tunawaona . watushushie Drake. watajaza tu
 
Unaonekana bado ni mchanga sana katika masuala ya mziki na fan base,na ndo maana hamuishi kushangilia kopi na pesti!
 
Bado kuna vichwa vimepigiwa kura,si unajua international artist hadi confirmation ifanyike...Ila kutoka mamtoni atakuwa mmoja na wa afrika wawili,davido ana kura nyingi sana huyu anaweza kupita
Hakuna msanii wa nje [emoji817] wasanii wetu wa ndani
 
Diamond Platinumz
 
International artist atatajwa soon,msanii wa nje agreement na confirmation kwanza ndo atangazwe
 
Kwani kiingilio unalipa baada ya show au kabla? Ikiwa kabla Basi waweza lipa na show ikawa mbaya
 
Hahahah sawa sawa
 
Una akili timamu ?

Huyo Chris Brown ni mmoja ya wataalamu wa kufanya sampling nyimbo za wengine. Muwe mnafanya utafiti kabla ya kukurupuka

Ujue kutofautisha sampling na copy and paste

Chris anafanya sampling
Jamaa yetu ana copy na pasting
 
Pointless wewe umesema DAVIDO hawezi kumwita Mondi,nimekuwekea post waliyopost Clouds.Mchanga ni wewe ila hata nikwambia mimi nani haitokusaidia,ila industry ya mziki naijua vizuri sana.
Onesha sehemu niliyosema Davido hawezi kumuita diamond,
Mbona jamaa unakuwa mwepesi kusahau....
 
Clouds FM walishakataa msanii kutoka Nje ndio maana wakisema 100Tanzania, hata sasa hawapigi nyimbo zozote za nje Ya Tanzania hadi Fiesta ipite tarehe 8/12/2019 wakiwa na kauli 100Tanzania

So Kuhusu msanii kutoka nje ya Tanzania Hiloo Toeni vichwani Mwenu Litabaki kuwa La Wasafi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…