Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
tarehe 8 mwezi wa ngapi?
Watamleta Kalighraph Jones labda, 🤣🤣🤣Wametangaza wanamleta nani kama mwanamusic kutoka nje?Kiingilio book tatu kweli Clouds fm wameishiwa.
Hofu yangu ni kwenye suala la Usalama?
Litakuwa tamasha la wananchi. Team Mondi acheni nongwaWametangaza wanamleta nani kama mwanamusic kutoka nje?Kiingilio book tatu kweli Clouds fm wameishiwa.
Wasafi ile show ya kijinga unalipa 10000 unaenda kusikiliza sound mbovu,utaona tarehe 8 wanaume tunavyofanya yetuYani kweli wana Hali mbaya yani Wasafi Festival ina Gharama kubwa kuliko Fiesta
Bado kuna vichwa vimepigiwa kura,si unajua international artist hadi confirmation ifanyike...Ila kutoka mamtoni atakuwa mmoja na wa afrika wawili,davido ana kura nyingi sana huyu anaweza kupitaWametangaza wanamleta nani kama mwanamusic kutoka nje?Kiingilio book tatu kweli Clouds fm wameishiwa.
Hahahah Dudubaya msanii wa Bongo Fleva tu. Legend!Wasanii wa clouds je? Dudubaya n.k