mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Vipind vya Asubuhi ni vipindi ambavyo mtu anataka kusikia habari chap chap aendelee na mambo mengine ya kujenga Nchi
Sasa nyie Yaani ni matangazooo tu ..mpaka mtu hujui ni nn unangoja kusikiliza .
Power Breakfast .. Mkienda Break ...mnaweka Matangazo Sita mpaka sabab Mkirudi ,Mnaanza kujadili tena Matangazo ,Mara Sujui ABC ,Mara sijui ,Play Master,Mara Sijui Fast Jet ...yaani tangazo moja mnachukua dakika 10 Kilidiscus,Mnaenda tena Break ... Matangazo na Nyimbo Moja ,Mnarudi mnadiscus hiyo Nyimbo na Matangazo Tena ..
Mnakera mtu kungoja Habari try To kupunguza, Kama yamewazidi Jaribu kukataa matangazo mengine, Tamaa si nzuri.