Ili iwe nini!!?Mimi huwa nasikia wanaupiga saa moja asubuhi. Kuna sheria inakataza kupiga wimbo wa taifa mpaka iwe tukio maalum?
Nashukuru...Umenikumbusha Civics ya form one kuna kipengele kinazungumzia umuhimu wa wimbo wa taifa,na mazingira ambayo wimbo wa taifa unapaswa kupigwa..anyways nikirudi kwenye mada yako hao jamaa wanafanya wanachojisikia si unajua washa vimbishwa kichwa.
Hujajibu swali. Kuna sheria inayosema wimbo wa taifa upigwe kwenye tukio fulani tu?Ili iwe nini!!?
Wimbo wa Taifa unachezwa katikati ya Shishi na Visingeli..
Ili iwe nini!??
Na kuna watu wanakula mshahara hapo TCRA...!??
Hata bendera haipandishwi hivyo hovyo kila wakati...inapandishwa saa 12 asubuhi na Kushushwa 12 jioni.....like wise na wimbo wa TaifaMimi huwa nasikia wanaupiga saa moja asubuhi. Kuna sheria inakataza kupiga wimbo wa taifa mpaka iwe tukio maalum?
Wewe nae una nongwa na clouds tuHivi ninyi Cloudd huko vyuo mlienda somea ujinga...!!???
Wimbo wa TAIFA sio wimbo wa burudani.
Mnauplay hovyohovyo.. Wimbo huu tunapaswa kuuskia ktk special ocassion. Si hivi mnavyofanya..kuuweka wimbo wa taifa ktk playlist tena unakua ktk list ya kipumbavu.
HESHIMUNI WIMBO WA TAIFA.
Punguza jazbaIli iwe nini!!?
Wimbo wa Taifa unachezwa katikati ya Shishi na Visingeli..
Ili iwe nini!??
Na kuna watu wanakula mshahara hapo TCRA...!??
Ili iwe nini!???Punguza jazba
Hua wanaupiga kila siku saa moja kabla ya taarifa ya habari na sio katikati ya visingeli kama unavyodai
TBC taifa wanaupiga tangu enzi na enzi tuanzie hapo kwanza kabla ya kuwaandama cloudsIli iwe nini!???
So whaaat!??
A national anthem is to be played to have peoples attention....
Nina ushahidi na nnachokisema...leo umechezwa kati ya list ya kipumbavu...
Acha kushindana na wanaccm ambao hawana mikiaTBC taifa wanaupiga tangu enzi na enzi tuanzie hapo kwanza kabla ya kuwaandama clouds
Kwahio kuna sheria wamevunja? Tusiongee kwa hisia tu kumbe jamaa waliangalia loophole. Sheria ipo inayosema wimbo wa taifa upigwe kwa tukio fulani tu?Hata bendera haipandishwi hivyo hovyo kila wakati...inapandishwa saa 12 asubuhi na Kushushwa 12 jioni.....like wise na wimbo wa Taifa
Tbc ndo kinini....!??TBC taifa wanaupiga tangu enzi na enzi tuanzie hapo kwanza kabla ya kuwaandama clouds
Wamevunja sheria? Mbona hujibu? Kuna sheria inasema wimbo huo upigwe kwenye tukio fulani tu?Ili iwe nini!???
So whaaat!??
A national anthem is to be played to have peoples attention....
Nina ushahidi na nnachokisema...leo umechezwa kati ya list ya kipumbavu...
Wajinga sana, hao jamaa. Sijui kwanini wanafanya hivyo, waache mara moja. Nashangaa viongozi wapo au watawala kweli hawalioni hili?Hivi ninyi Cloudd huko vyuo mlienda somea ujinga...!!???
Wimbo wa TAIFA sio wimbo wa burudani.
Mnauplay hovyohovyo.. Wimbo huu tunapaswa kuuskia ktk special ocassion. Si hivi mnavyofanya..kuuweka wimbo wa taifa ktk playlist tena unakua ktk list ya kipumbavu.
HESHIMUNI WIMBO WA TAIFA.
Ndio na wewe, kwani wewe sio mtanzania nini? Umewahi kuona wimbo wa Kenya, Uganda, hata hao Rwanda mnaoiga filosofi yao inapigwa hovyo hovyo?Hujajibu swali. Kuna sheria inayosema wimbo wa taifa upigwe kwenye tukio fulani tu?