wanajipendekeza vibaya kwa chama cha madhalimu na mafisadi, ambacho siku zao zinahesabika ktk dunia hii ya Tanzania.
kwani clouds ina bif na mshindi wa mbeya mjini?
Mkuu tumechoka na hiki CHAMA CHA MICHAKACHUAJI (CCM). INGEKUWA AMRI YANGU NINGEKIFUTIA HATA USAJILI MAANA KIMEGEUKA NA KUWA CHAMA CHA WAKOLONI WANOTUKANDAMIZA.Hongera Sugu. Kila la kheri kwenye fani yako mpya, although tutakumis jukwaani.
Tuache ushabiki. Sugu has no clue what to do as a mbunge. Dude has to learn fast. It will be interestiiiiiing. He is incumbent now. We are watching. And expecting a lot from you.
Bora hata Sugu, Godbless Lema ndio even worse. Huyu jamaa pamoja na utapeli wake, mjengoni ataenda kufanya nini? Seriously? Watu wamempiga chini Dr. Buriani ili kumuweka Lema. Hizi siasa hizi.
Hongera Sugu. Kila la kheri kwenye fani yako mpya, although tutakumis jukwaani.