Clouds Media mti mwema hupigwa mawe

Clouds Media mti mwema hupigwa mawe

mbogodj

Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
65
Reaction score
13
Siamini kama kweli mnaweza kuwa mti mwema maana nahidi siku zinavyokwenda uzandiki unazidi .itafikia hatua media itafuatiliwa na watu wa maeneo Fulani tuu hasa wanaoendekeza mambo kama yenu.

Tubadilike. Unafiki , kugombanisha watu sio poa jamani.
 
Wewe unafanya kitengo gan? kwenye clouds media

nimfangiaji na kudeki vyoo?, au wewe ndiye kibonde wa jahazi,!
 
In the short clouds are very goog in playing music like of they like them example diamond and others you know.People they don't love them becouse they don't like others but I love them
 
Siamini kama kweli mnaweza kuwa mti mwema maana nahidi siku zinavyokwenda uzandiki unazidi .itafikia hatua media itafuatiliwa na watu wa maeneo Fulani tuu hasa wanaoendekeza mambo kama yenu.

Tubadilike. Unafiki , kugombanisha watu sio poa jamani.

Nimekuelewa kaka....waambie ukwel!!!
 
In the short clouds are very goog in playing music like of they like them example diamond and others you know.People they don't love them becouse they don't like others but I love them

Kweli we ganja roller...
 
In the short clouds are very goog in playing music like of they like them example diamond and others you know.People they don't love them becouse they don't like others but I love them
:A S-eek::A S-eek: Mhhh! kama napata picha unavotumia nguvu nyingi kuandika hichi kingereza cha kubofoa... sio lazima sana kila mtu ajue kingereza na sio dhambi kuongea kiswahili pia... kama ulikimbia umande jikubali ulivo waachie wanaejua maana hii lugha ya watu usipojipanga unaweza kuvunjika ulimi....:A S wink:
 
clouds media wamiliki wake hawajatoka moshi mtu yeyote anayeichukia clouds ni chadema.mtu yeyote anayependa kusifia akili yake punguani mimi nawapenda ccm uisifie usiisifie wala hawana habari kazi ipo chadema sasa nenda gazeti lao la udaku utacheka

Unfortunate si mshabiki wa vyama au siasa lakini mshabiki wa +ve idea ya MTU yeyote wa wing yoyote as long haina -ve impact kwangu nakwajamii kwa ujumla.
 
Mkude simba tuuu siambiwi sion8 na sasa inakuja 94.5 clouds mjipange
 
In the short clouds are very goog in playing music like of they like them example diamond and others you know.People they don't love them becouse they don't like others but I love them

Hiki kiingereza huwa kinatumika na mabahari kwa sababu ndio lugha ya mawasiliano wawapo melini, inawalazimu kuongea tu.
 
siku hizi hata huwa siiskirizagi hii redio sababu baadhi ya watangazaji wemefanya ni sehemu ya kufanyia siasa.
 
Mm nfamilia ya clouds kwan naipenda na icpoandikwa hapa huwa na jickia hovyo kwel hz ndo changamoto asanten kutupa njia
 
Back
Top Bottom