Clouds Media kuipeleka Dunia nzima Rujewa, kushuhudia kupatwa kwa jua

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,857
Ruge Mutahaba akizungumza katika kipindi cha 360 anasema Watanzania inabidi ifikie wakati tuache au tupunguze siasa.Tumuunge mkono Rais JPM ktk dhamira yake ya kweli kufikia maendeleo ya kweli ya nchi hii,kwani Taifa la Tanzania imekuwa hapa lilipo kwa muda mrefu sababu ya "siasa".Nchi kama Malaysia na Singapore zilikuwa sawa na Tanzania miaka hiyo lkn sababu wao waliachana na mambo ya "siasa" na kujikita katka maendeleo,leo hii nchi hizo zipo mbali sana wakati tunazizidi kwa rasilimali na utajili mwingi wa asili.

Ili kuondoa dhana hiyo,Clouds Fm imeomba kushirikiana na wakuu wa Mikoa wa Iringa,Njombe,Mbeya na Songwe kuifanya tarehe 01/09/2016 kuwa siku ya "Kitaifa" ya Watanzania wote kuelekeza macho na masikio yao Rujewa,Wilaya ya Mbalali,Mkoa wa Mbeya ambapo siku hiyo majira ya saa nne asubuhi Dunia itashuhudia kupatwa kwa jua.Tukio hilo litateka Dunia,kwani tayari watalii kutoka sehemu mbalimbali za dunia wameshaanza kufika Rujewa ili kushuhudia kupatwa kwa jua.Hii itakuwa ni "fursa" ya kutangaza utalii wa ndani na kampeni ya "Regional brand" iliyoanzishwa na Clouds lenye lengo la kutangaza fursa za kimaendeleo za kila mkoa.

Kwa kumuunga mkono Rais kuhamia Dodoma,Fiesta ya mwaka huu "itahamia" Dodoma ili kuendana na kauli ya Mh.JPM ya kupeleka makao Makuu ya Chama na Serikali kuwa Dodoma...."Dodoma Imooooooo"

Kwa kushirikiana na Waziri wa Utamaduni ndugu Nape Nnauye,Clouds Media itatoa fursa ya Wajasiliamali waliosajiliwa kutangaza bidhaa zao ambazo zipo "packed" kwa kuzunguka na "Track" kubwa itakayofahamika kama "Fursa Mobile Supermarket" ambayo itakuwa imesheheni bidhaa za wajasiliamali wadogowadogo wataojisajili mapema kupitia namba 0686-006006.Lori hilo la "Fursa Mobile Supermarket" litahamasisha ununuwaji wa badhaa za ndani ya nchi ambazo zinatengenezwa na Watanzania Wazalendo na wazawa ambao wameamuwa kuweka mitaji yao ktk kujiinua kiuchumi.Ili kuunga mkono Serikali kufikia Taifa la Uchumi wa Kati,Clouds Media itatumia fursa hiyo kuwapa "Promotion" wafanyabiashara hao wadogowadogo

Watanzania wote Septemba Mosi,2016 tukutane Rujewa,Mbalali-Mbeya ili tuungane na Dunia kushuhudia kupatwa kwa jua,clouds media kwa maana ya Luninga na Radio itakuujia moja kwa moja toka Rujewa eneo la tukio kwa kina Masanja Mkandamizaji.
 
Atahaibika mtu siku hyo.....na naomba iwe live wasiedit ah ah ah
 
Hakuna atakayepoteza muda kuangalia ukuta wa barafu unavyoyeyuka. Hapa Kazi Tu
 
Eti tuangalie kupatwa kwa jua kwani jua litatuletea maendeleo gani au hilo tamasha lake la fiesta linasaidia nini jamii ya sasa zaidi ya kuharibu kizazi chetu tu kuwaza burudani
 
Ruge Mutahaba akizungumza katika kipindi cha 360 anasema Watanzania inabidi ifikie wakati tuache au tupunguze siasa.Tumuunge mkono Rais JPM ktk dhamira yake ya kweli kufikia maendeleo ya kweli ya nchi hii,kwani Taifa la Tanzania imekuwa hapa lilipo kwa muda mrefu sababu ya "siasa".Nchi kama Malaysia na Singapore zilikuwa sawa na Tanzania miaka hiyo lkn sababu wao waliachana na mambo ya "siasa" na kujikita katka maendeleo,leo hii nchi hizo zipo mbali sana wakati tunazizidi kwa rasilimali na utajili mwingi wa asili.

Ili kuondoa dhana hiyo,Clouds Fm imeomba kushirikiana na wakuu wa Mikoa wa Iringa,Njombe,Mbeya na Songwe kuifanya tarehe 01/09/2016 kuwa siku ya "Kitaifa" ya Watanzania wote kuelekeza macho na masikio yao Rujewa,Wilaya ya Mbalali,Mkoa wa Mbeya ambapo siku hiyo majira ya saa nne asubuhi Dunia itashuhudia kupatwa kwa jua.Tukio hilo litateka Dunia,kwani tayari watalii kutoka sehemu mbalimbali za dunia wameshaanza kufika Rujewa ili kushuhudia kupatwa kwa jua.Hii itakuwa ni "fursa" ya kutangaza utalii wa ndani na kampeni ya "Regional brand" iliyoanzishwa na Clouds lenye lengo la kutangaza fursa za kimaendeleo za kila mkoa.

Kwa kumuunga mkono Rais kuhamia Dodoma,Fiesta ya mwaka huu "itahamia" Dodoma ili kuendana na kauli ya Mh.JPM ya kupeleka makao Makuu ya Chama na Serikali kuwa Dodoma...."Dodoma Imooooooo"

Kwa kushirikiana na Waziri wa Utamaduni ndugu Nape Nnauye,Clouds Media itatoa fursa ya Wajasiliamali waliosajiliwa kutangaza bidhaa zao ambazo zipo "packed" kwa kuzunguka na "Track" kubwa itakayofahamika kama "Fursa Mobile Supermarket" ambayo itakuwa imesheheni bidhaa za wajasiliamali wadogowadogo wataojisajili mapema kupitia namba 0686-006006.Lori hilo la "Fursa Mobile Supermarket" litahamasisha ununuwaji wa badhaa za ndani ya nchi ambazo zinatengenezwa na Watanzania Wazalendo na wazawa ambao wameamuwa kuweka mitaji yao ktk kujiinua kiuchumi.Ili kuunga mkono Serikali kufikia Taifa la Uchumi wa Kati,Clouds Media itatumia fursa hiyo kuwapa "Promotion" wafanyabiashara hao wadogowadogo

Watanzania wote Septemba Mosi,2016 tukutane Rujewa,Mbalali-Mbeya ili tuungane na Dunia kushuhudia kupatwa kwa jua,clouds media kwa maana ya Luninga na Radio itakuujia moja kwa moja toka Rujewa eneo la tukio kwa kina Masanja Mkandamizaji.
Unafiki katika ubora wake, yaani katika vijana wanafiki waliowahi kutokea kwenye uso huu wa dunia ni huyo Ruge na the so called clouds media group. Huwa siwaelewi kabisa na hiyo slogani yao ya uzalendo wanayopendaga kujipambanua nayo, hivi Ruge anaweza kuiambia Tanzania tangu wameanza kufanya hayo mafiesta yao more than ten years ago wameleta impact gani tangible kwa nchi wanayoweza kujivunia?? Wamekua watu wa kujipendekeza kwa watawala kwa kiwango cha kutisha kwa sababu ya faida wanazozipata hasa kuingiza mamilioni for free kupitia viingilio visivyolipiwa kodi na wakitumia uelewa mdogo na ufinyu wa elimu unaowasumbua wanamuziki wengi wa bongo fleva kuwagandamiza vilivyo. Nadhani wao wafanye mambo yao kwa nafasi yao na wawaache watu wengine wafanye yao vilevile na kamwe wasijigeuze chombo cha propaganda cha serikali. Tushuhudie kupatwa kwa jua halafu likishapatwa inakuaje?? what value it adds to my life?? Jipangeni upya, walio wengi wamewashtukia........
 
Tangu Mkulu kupiga Simu kwenye kipindi cha 360 basi wanajipendekeza sana.

Nchi gani inaendeshwa bila siasa? Wanataka kutuaminisha Singapore ziliendelea kwa sababu ya dictatorship?

Angetangaza tu tukio lao bila kuhusisha na mambo ya Kisiasa.
 
Baada ya kupatwa kwa jua ,nini hatima ya hao wananchi? Watu wengne sijui wanafikria kwa kutuma makalio?
 
Strategy mbaya hii kwa Ruge kuiingiza kampuni yake katika bifu za Kisiasa, ni rahisi kuifanya Redio yake idharauliwe kwa kuonekana kuwa ni kibaraka
 
Back
Top Bottom