uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,242
ipo siku yao wajinga wale...wana ubongo mdogo sana kama wasamaki dagaa.
usituwekee maneno mdomoni. watanzania wengine hatutaki chochote zaidi ya wauza ngada na company zao wanyooshe maelezo.Watanzania wanata vyeti tu hayo mengine hawana mda nao
Acha woga wewe , ulitaka wanyamazie huu udharirishaji?Muda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo Clouds
Pia Tamasha pendwa Fiesta litashitiswa kwa sababu za kiusalama
TRA & TCRA watakuwa wageni wa Clouds
Ngosha ni bingwa wa visasi we subiri tu tutasikia