Clouds Media group: Chances never come twice au tragedy come in thrice

Clouds Media group: Chances never come twice au tragedy come in thrice

Waache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.

ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.
Eti watu waonewe na wasimkemee dikteta kwa sababu gani? Kama kuna gharama ya kulipa wacha na iwe hivyo
 
Muda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo Clouds

Pia Tamasha pendwa Fiesta litashitiswa kwa sababu za kiusalama

TRA & TCRA watakuwa wageni wa Clouds
Ngosha ni bingwa wa visasi we subiri tu tutasikia
Kisasi ni mamlaka ya Mungu wewe tuondolee ubashite wako hapa...huyo Ngosha mnayemsifia kuwa ni bingwa wa visasi vp leo mkisikia Mungu kaivuta roho yake???Msimsifie mtu kwa uwezo ambao hana
 
Ogopa sana mtu anayekumaliza huku unakuangalia usoni na wala aoni aibu kukusema popote pale

Dunian hakuna taasisi iliyoweza kushindana na serikali ikashinda sasa hv wanajifanya kama vile wako kimya sasa ni zamu ya Clouds kuongea tena wamejichongea kujiunga na Bishop serikali inajua tu watanzania ni watu wa kusahau ngoja upepo huu upite then ndo serikali inakushugulikia vizuri leo Manji yuko wapi pamoja na kutamba na wanasheria 6 kutoka TZ na UK leo wanasheria hawajui mteja wao alipo

Leo Mange hotel ya Familia inauzwa then watakuja nyumba ya familia then mali za familia

Clouds wanaitaji sana back up ya serikali kutokana na mambo wanayofanya ktk biashara zao lakini Serikali sidhani kama inaitaji back up ya Clouds kama Clouds wanavyoitaji back up ya GVMT
Eti duniani hakuna taasisi iliyowahi kushindana na serikali...

Nikuulize...
Gadafi yuko wapi?
Idi Amini yuko wapi?
Blaise Compaore yuko wapi?
Mobuu yuko wapi?

Acheni ubashite wenu bana muwe mnafikiri kabla ya kusema
 
Chances never come twice au tragedy come in thrice. Hili tukio limekuja mnalaani na kulaumu na hata kuamua kuside na waliokuwa maadui wenu dhidi ya rafiki yenu. Rafiki wa kweli ni yule anayesimama na nyinyi wakati wa shida.

Sio siri mlikuwa mnakabiliwa na ushindani mkubwa sana kibiashara na mlishaanza kupotea, lakini rafiki yenu kaja na backup plan to bring u at the top of every media. Mnataka nini tena clouds! Mlimsaidia sana RC kufanikisha kazi zake sasa na yeye kawasaidia sana kuwaweka juu. Coincidence.

Mshukuru Mungu kwa kila jambo na pia hata president kawapa sana publicity toka aingie madarakani, mimi hata nilikuwa sjui 360 lakini kupitia yeye nikawa mfuatiliaji, baba wa watu mpaka kateua mtu kutoka hapo katika kipindi cha 360. Please don't mess up with him na huo ndo urafiki.

Karibuni wadau kujazia nyama
Kituo mbali na Makonda Rais JPM kakipromoti Sana Sana. Hasa wakaaanza kufuatilia vipindi baada ya My. Rais kuwapigia simu mara kwa Mara. Watu ndipo watu wakes na interest ya kuona kulikoni. Hata mm nilikiona kituo cha kawaida kidogo tu.
Halafu tatizo ni la kutembea na askeri wengi maana kituo kakizoea na alikua anaenda kwa rafikiyake maskini.
Pia nashauri utawala wa kituo wawaangalie sijui mshauri sijui nacheogani 'mchoraji' nilisikia akishabikia.Very bad
 
Nadhani Clouds Tv wanatakiwa kuweka files zao vizuri. Salaries, contracts, revenues and taxes. La sivyo....

Serikali za Africa nyingi zinaongozwa kwa visasi, hii pia haina tofauti, kuna visasi na kulipiza kisa mmoja ana madaraka na mamlaka.
 
Waache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.

ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.

Mmezoea kutumia taasisi za umma kinyume cha maumbile.
 
Waache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.

ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.

Hufai kuwa baba wa familia kwa uoga huu! Hata wangepiga mnada nchi kwa maana ya maeneo sisi kama taifa tutabaki...serikali kandamizi na isyofuata misingi ya katiba na sheria ni serikali mufilisi!
 
naamini Hawa hawakusoma vizuri situation na wamewahi sana kureact nakuja public, wajisahihishe mapema, la sivyo, itakuwa hadithi ya from hero to zero
Mkuu ulitaka wajikombe hatakama wanashikwa makalio?
Woga ni kitu kibaya sana
 
Waache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.

ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.
Mpuuzii wewe huna hoja tuone kama wataweza uza hiyo motel
 
Ogopa sana mtu anayekumaliza huku unakuangalia usoni na wala aoni aibu kukusema popote pale

Dunian hakuna taasisi iliyoweza kushindana na serikali ikashinda sasa hv wanajifanya kama vile wako kimya sasa ni zamu ya Clouds kuongea tena wamejichongea kujiunga na Bishop serikali inajua tu watanzania ni watu wa kusahau ngoja upepo huu upite then ndo serikali inakushugulikia vizuri leo Manji yuko wapi pamoja na kutamba na wanasheria 6 kutoka TZ na UK leo wanasheria hawajui mteja wao alipo

Leo Mange hotel ya Familia inauzwa then watakuja nyumba ya familia then mali za familia

Clouds wanaitaji sana back up ya serikali kutokana na mambo wanayofanya ktk biashara zao lakini Serikali sidhani kama inaitaji back up ya Clouds kama Clouds wanavyoitaji back up ya GVMT
brother ukiwa mjanjamjanja sawa,mzee Said Salim Bhakera kalipwa MABILION na serikali yetu baada ya kutosa Baharini Ngano kutoka nje kuwa ni mbovu kisa Aliisuport CUF,jamaa waliomuuzia wakamwambia KIJANA tulia sisi tutakusimamia wakaleta wataalamu na wanasheria wao Jamaa Wakashinda serikali ikamlipa na FIDIA pesa kibao ila angekua anafanya figisufigusi ingekula kwake,mbona Efm inafanya vizuri tu au Mr president alipiga simu siku moja?
 
Eti duniani hakuna taasisi iliyowahi kushindana na serikali...

Nikuulize...
Gadafi yuko wapi?
Idi Amini yuko wapi?
Blaise Compaore yuko wapi?
Mobuu yuko wapi?

Acheni ubashite wenu bana muwe mnafikiri kabla ya kusema
Inawezekana ww ndio ukawa Bashite wa Kalomije vijijini nitajie taasisi gani iliyowatoa hao viongozi uliowataja hapo juu au maana ya taasisi ujui?
 
brother ukiwa mjanjamjanja sawa,mzee Said Salim Bhakera kalipwa MABILION na serikali yetu baada ya kutosa Baharini Ngano kutoka nje kuwa ni mbovu kisa Aliisuport CUF,jamaa waliomuuzia wakamwambia KIJANA tulia sisi tutakusimamia wakaleta wataalamu na wanasheria wao Jamaa Wakashinda serikali ikamlipa na FIDIA pesa kibao ila angekua anafanya figisufigusi ingekula kwake,mbona Efm inafanya vizuri tu au Mr president alipiga simu siku moja?
Salim alikuwa clean kwani siku zote ukiwa aganst na Serikali ni lazima uhakikishe check &Balance ziko vizuri pia Salim alikuwa anafanya Biashara na kampuni za nje na kesi aikufanyikia mahakama ya kisutu swali je kesi ingekuwa Mahakama ya kisutu mpaka leo hukumu ingekuwa bado

Hakuna mfanyabiashara anayeichangia CCM akawa ni Clean hata Siku moja Slam alikuwa CUF unadhani asingekuwa Clean wangesubili kumwaga ngano yake? TRA tu wangemtosha kummaliza

Clouds walikuwa wameshajiona ni STK baada ya T -205 ...... so walikuwa wameshajiona na kujitenga na wenzao we niambie radio gani walikuwa na mahusiano nayo mazuri?tena washukulu sana wameungwa mkono kwa vile ni jambo ambalo kila mtu linaweza mtokea kutoa TBC na TBC taifa na ndo maana TBC au vyombo vya habari vya serikali na chama hawakwenda hata kwenye mkutano wa Nape na Clouds coz ni jambo ambalo kwao si tatizo

Leo unadhani kwa hali ilivyo TCRA wanaweza kuwaacha Clouds kuwahoji kina Kaoge? au Gigy money wakabaki salama au matusi ya kibonde na adam mchovu?

Tena ktk wakati Mbaya zaidi kwa Clouds ni huu kwani wanavitu vingi sana vinavyoitaji amri ya serikali kama Matamasha yao,kampeni zao ,madili yao usidhani JPM au Makonda awajui juu ya Mipasho na vijembe wanavyopigwa na Clouds ila pigo lao moja tu kwa Clouds mbuyu chini

Clouds wanatengeneza fedha nying sana si kwa ajili ya matangazo kama radio zingine wao wanatengeneza fedha kwenye makapeni yao mfano fursa na malkia wa nguvu wale wadhamni wa matukio hayo wanatoa fedha nying sana pia na fiesta wanapata fedha nying sana sasa vitu vyote vinakwenda kufutwa hakuna bigwa bila ya kipato kiburi cha tajiri si nguvu au kufahamika ni fedha so ukiziba mirija wa fedha tu lazima akae chini ni kama umempiga mtu ngumi ya chembe

Leo Manji anaweza kuongea maneno aliyokuwa anasema siku ya Jumatano ? ambayo kesho yake alikwenda Centro?
 
Ni bora wakose matangazo yote ya serikali kuliko kupandwa kichwani na akina Bashitee. Bado matangazo ya taasisi binafsi na mashirika ya kimataifa yatawasaidia tu!
Hivi unajua Biashara ya vyombo vya habari ww leo hzo taasisi wanawapelekea matangazo kutokana na ukaribu wao na wanasiasa ndio wanapata connection ya kuingia hata office za UN na mashirika ya kimataifa hv unajua Mwanachi wanataka kuondoka kurudi kwao kwenye kutokana na biashara kuwa mbovu? na ktk magazeti mawili aliyosema Mwenyekiti moja lilikuwa mwananchi?
 
Nimekuwa kwenye industry hii almost 18 plus. najua kwamba ukiendesha media kwa hofu ile ya kuwagusa wakubwa watakunyima matangazo utaendesha chombo kwa shida sana japo unapata matangazo! Kinachotikisa vyombo vya habari kwa sasa (kukosa/kupungua matangazo) sio tu staili ya uongozi wa awamu ya tano, bali ni pamoja na kuibuka kwa new media. Haya mambo mawili ndio yanavikoroga vyombo vya habari vile traditional. Na tatizo zaidi liko kwenye print media maana hata sales za copies nazo zimeshuka.

Lakini hoja yangu ya msingi hapa, kwa muktadha wa thread na maoni ya mchangiaji niliyerespond comment yake kabla ya wewe kujibu ya kwangu, ni kwamba kama una akili sawasawa huwezi kuendesha chombo cha habari kwa kuendeshwa na tumbo lako eti uruhusu akina Bashitee wakupande kichwani ili in return serikali ikupatie matangazo!

Kwa case ya Mwananchi najua kwamba wanabadili mfumo wa uendeshaji ili kukabiliana na changamoto kama hizi na sijui kama wanataka kurudi nyumbani (wapi? Maana Aghakhan amewekeza sana hapa) kama ulivyodai. Mwananchi na wengine wanafahamu kuwa hali hii inayoendelea sasa itapita maana utawala tulionao sasa haujaletwa kutawala milele!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom