srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,149
- 3,862
Habari wadau ,
Leo kwenye clouds radio kipindi cha xxl wametangaza slogan au msemo mpya utakaotumika kwenye kampeni yao mpya ya fiesta 2016,,. Slogan hiyo mpya ni IMO , HATUSHINDWI.. Nashindwa kuelewa kabisa kwa nn clouds wamechagua msemo mbaya namna hii , .. ila cha ajabu na cha kustajaabosha utashangaa msemo huu unakuwa habari ya mjini. Kama ilivyokuwa misemo mingine kama NI SHIDAAA , na mingine mingi ya kipuuzi...
Asanteni na naomba kuwakilisha ...