Clouds FM wafa rasmi!!!

Clouds FM wafa rasmi!!!

Pokola

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
716
Reaction score
179
wafu fm....
 

Attachments

  • wafu fm.jpg
    wafu fm.jpg
    15.3 KB · Views: 228
Sugu atatumbuiza viwanja vya ustawi wa jamii na album yake ya Anti virus itakuwa hewani
 
Wapi NYANI NGABU????

Tutajitokeza kwa wingi tuone hiyo kiboko ya kirus....
 
Sugu awadhihirishie yuko juu zaid ya mawingu
 
Khaaaaaaa kwa hiyo kuna vijana kadhaa watakosa ajira
hasa wale vilaza wa ja,,,,,.....////// tihitihitihihihihihihihihih
r.i.p clauds
 
dah kwa kweli anti virus ni km chai yangu asubuhi, yaani lzm nisikilize tehe
 
Sugu atatumbuiza viwanja vya ustawi wa jamii na album yake ya Anti virus itakuwa hewani
Lakini CHADEMA si wamekatazwa na Polisi kufanya mkusanyiko wowote nchini?
 
Back
Top Bottom