Mkuu mbona Lissu hili swala alishalitolea ufafanuzi kwenye kipindi cha kinagaubaga cha DWKuhusu Zitto zamani nilikuwa siamini sana tuhuma zake, lakini sasa nimeanza kuamini kuwa no mjasiria mali wa kisiasa.
Mvurugaji mkuu wa upinzani hasa Chadema. Nadhani Lissu sasa atoke hadharani na kuweka hili sawa
Zitto kima video anawaambia wafuasi wake kwamba ana salamu kutoka kwa Lisu kwamba yuko tayari kiungana nao kupigania haki za kidemocrasia ktika nchii hii.
Kwa ule uspecial aliopewa Lisu kwenye mkutano wa ACT mwenye akili anajua nini kinafuata.
Inawezekana Lisu hafurahishwi na jinsi Mbowe anavyo kanyaga katiba ya chadema.
Leo kwenye PERUZI NA KUDADISI ya clouds FM alisikika Masudi Kipanya akisema kwamba Tundu Lisu yupo tayari kuhamia ACT- Wazalendo muda wowote kuanzia sasa. Kinachosubiriwa ni muda tu ufike.
SOURCE: Clouds FM.
Mboma unaumia sana? Kwani nyie wote na Zito si wapinzani?
Vyovyote bora tupate nchi nzuri na uongozi bora.
Kuhusu Zitto zamani nilikuwa siamini sana tuhuma zake, lakini sasa nimeanza kuamini kuwa no mjasiria mali wa kisiasa.
Mvurugaji mkuu wa upinzani hasa Chadema. Nadhani Lissu sasa atoke hadharani na kuweka hili sawa
Kuhusu Zitto zamani nilikuwa siamini sana tuhuma zake, lakini sasa nimeanza kuamini kuwa no mjasiria mali wa kisiasa.
Mvurugaji mkuu wa upinzani hasa Chadema. Nadhani Lissu sasa atoke hadharani na kuweka hili sawa
LET IT BE RUBBISH (time will prove us wrong)This is RUBBISH. Kazi ya CCM hii kuleta ugomvi
Ni kweli kabisa!Leo kwenye PERUZI NA KUDADISI ya clouds FM alisikika Masudi Kipanya akisema kwamba Tundu Lisu yupo tayari kuhamia ACT- Wazalendo muda wowote kuanzia sasa. Kinachosubiriwa ni muda tu ufike.
SOURCE: Clouds FM.
Sioni ubaya akihamia huko. Ubaya ni kama akihamia upande ule wa kuunga juhudi!Alisema yeye mwenyewe Tundu Lissu au kipanya alichora kikatuni cha kumuonesha Lissu akiwaza kuhamia ACT kisha wakaanza kukijadili.....!?
Hiyo ndo demokrasia, acha kuita mawazo ya wenzako RUBBISH. wewe ni miongon mwa wanasiasa wanaopende kuzusha mambo ili upate umaarufu!This is RUBBISH. Kazi ya CCM hii kuleta ugomvi
kaka Zitto kwann jana kwenye mkutano wako ulitoa salamu za TL badala ya CHADEMA if you real need strong institution? hasa kipindi hiki ambacho uchochezi na rubbish ni mingi?This is RUBBISH. Kazi ya CCM hii kuleta ugomvi
Leo kwenye PERUZI NA KUDADISI ya clouds FM alisikika Masudi Kipanya akisema kwamba Tundu Lisu yupo tayari kuhamia ACT- Wazalendo muda wowote kuanzia sasa. Kinachosubiriwa ni muda tu ufike.
SOURCE: Clouds FM.
kaka Zitto kwann jana kwenye mkutano wako ulitoa salamu za TL badala ya CHADEMA if you real need strong institution? hasa kipindi hiki ambacho uchochezi na rubbish ni]
Mwaka 2017 Lema alihudhuria mkutano wa ACT Wazalendo Arusha na kutoa salaam zake yeye kwetu kwanini haikuwa nongwa?
Mimi nimekwenda safari, nimemwona Lissu kumsabahi. Narudi nafanya mkutano wa chama nawapa wajumbe salaam za Mgonjwa wa Taifa zima, shida nini?
Anayefanyia propaganda hili ni mpumbavu na anayeamini hizo propaganda pia mpumbavu.
Narudia, hakuna coalition ya mtu na mtu. Coalition ni ya Vyama. Sisi ACT tunataka coalition na tutafuata Sheria. Kama wenzetu wanadhani wanaweza kuikabili CCM peke yao sawa. Lakini sisi tunaamini ushirikiano utakuwa na faida kwa sisi sote. Chama chetu kimejiandaa kwa yote lakini dhamira yetu ni kushirikiana tena kuanzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa