Leo kwenye PERUZI NA KUDADISI ya clouds FM alisikika Masudi Kipanya akisema kwamba Tundu Lisu yupo tayari kuhamia ACT- Wazalendo muda wowote kuanzia sasa. Kinachosubiriwa ni muda tu ufike.
SOURCE: Clouds FM.
hahahaha ww wasema, aya wewe ndo mpinzani umefurahZitto hajawahi kuwa mpinzani na hataweza kuwa mpinzani daima
Kuhusu Zitto zamani nilikuwa siamini sana tuhuma zake, lakini sasa nimeanza kuamini kuwa no mjasiria mali wa kisiasa.
Mvurugaji mkuu wa upinzani hasa Chadema. Nadhani Lissu sasa atoke hadharani na kuweka hili sawa
Wote watahamia huko kumfata lissu wao[emoji2]. Dah masikini..Dah nawaonea huruma CHADEMA aisee maisha yanaenda mbio kwel
Sio kwamba ni muhuni kwasababu anaisema serikali au JPM. Kigezo kikiwa hicho Mimi sikubaliani. JPM lazima asemwe anatuharobia nchi sana tu.kuna siku huwa mnamshangilia akiisema serikali ama kumsema JPM...
Ieleweke Zitto ni muhuni...sio mwanasiasa
JPM ndo mwanasiasa? Huyu si katili tu anaependa kutia hofu wananchi anao watawala kwa nguvu ili asikosolewe?kuna siku huwa mnamshangilia akiisema serikali ama kumsema JPM...
Ieleweke Zitto ni muhuni...sio mwanasiasa
Zitto ni CCM Damu. Wenzie wana makesi kibao yeye kila siku anamsema Magufuli haguswi. Unadhani Dola inaogopa hicho kinachoitwa UCHAWI wa Zitto?Zitto na CCM wanawapumbaza wajinga. Wanataka tumuone ni mpinzni kweli wakati mikakati yake ya gizani ipo wazi. MSIMWAMINI ZITTO kabisa
Hahahha... Ishu ni kuitoa kupitia chama kipi? Kuna nini huko chadema mpaka anataka kwenda upande wa pili? Bila shaka kachoka na uhuni wa hukoWapinzani wote tupo pamoja sana hilo la Lissu kuhamia ACT wala siyo issue bali issue yetu ni tumtoe ccm madarakani tu
Ila nawewe huaminiki, umekuwa kigeugeuThis is RUBBISH. Kazi ya CCM hii kuleta ugomvi
Kipanya bahanaa ajaachaamapanyayaleeLeo kwenye PERUZI NA KUDADISI ya clouds FM alisikika Masudi Kipanya akisema kwamba Tundu Lisu yupo tayari kuhamia ACT- Wazalendo muda wowote kuanzia sasa. Kinachosubiriwa ni muda tu ufike.
SOURCE: Clouds FM.
Hahahha... Ishu ni kuitoa kupitia chama kipi? Kuna nini huko chadema mpaka anataka kwenda upande wa pili? Bila shaka kachoka na uhuni wa huko
Hapa tunaongelea ishu za wapinzani! Unaweza kuanzisha uzi mwingine kuongelea huyo mwingine!Ila mnafurahishwa na yule anaekanyaga katiba ya Chama chenu na Nchi?
Kama una video hiyo mkuu tunaomba utuwekee hapa. Suala la .wanasiasa wa nchi hili kuhama chama binafai halinishangazi tena.. Ishakuwa kawaida sana. Kama Kingunge aliihama ccm, Lisu ni nani asihame?Zitto kima video anawaambia wafuasi wake kwamba ana salamu kutoka kwa Lisu kwamba yuko tayari kiungana nao kupigania haki za kidemocrasia ktika nchii hii.
Kwa ule uspecial aliopewa Lisu kwenye mkutano wa ACT mwenye akili anajua nini kinafuata.
Inawezekana Lisu hafurahishwi na jinsi Mbowe anavyo kanyaga katiba ya chadema.
Hata ya Dr Slaa yalianza hivi hivi. Kwahiyo hata TL itakuwa kweliinteresting story but lazima TL atoke aseme neon. this is too much
Naamini Lissu yuko vizuri na hawezi kuhangika na hizi siasa uchwara.Hata hivyo kama ataingia kwenye huo mtego ajipime kama yeye anao umaarufu kama wa Dr.Slaa.Kuhusu Zitto zamani nilikuwa siamini sana tuhuma zake, lakini sasa nimeanza kuamini kuwa no mjasiria mali wa kisiasa.
Mvurugaji mkuu wa upinzani hasa Chadema. Nadhani Lissu sasa atoke hadharani na kuweka hili sawa
Kamanda umepanikiHatukatai kuwa Lissu anaweza kuhamia ACT, anaweza kwenda popote hata CCM ni hiari kwake na ndio demokrasia.
Lakini sidhani kama kwa wakati huu, mazingira yake Lissu na Mategemeo ya chama chake kama hilo linawezekana kwa sasa.
Lissu sio limbukeni wa kisiasa, na Lissu hajawa mtu asiye shukrani hata kidogo.
Lissu alifikia hali ya kuhesabika mfu kwa kutimiza wajibu wake. Na chama chake kikapambana usiku na mchana kumpigania uhai wake kama wajibu wa chama. Jee ni sahihi baada ya matibabu na sasa kasimama mwenyewe wale walio mpigania awaache njia panda na kushika mwelekeo mwingine? Tena kwa wakati huu?
Hizi habari ni za kutaka kumkosanisha na wenzake bure! Ndio maana nasema LISSU atoke hadharani AKANUSHE au ATHIBITISHE habari hii kwa kinywa chake mwenyewe