MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Hahahaha Vibendera wameanza Kwaruana tye tye tyeKuhusu Zitto zamani nilikuwa siamini sana tuhuma zake, lakini sasa nimeanza kuamini kuwa no mjasiria mali wa kisiasa.
Mvurugaji mkuu wa upinzani hasa Chadema. Nadhani Lissu sasa atoke hadharani na kuweka hili sawa