Clouds FM, The Super Brand

Kusema tu ukweli clouds wapo vzur kuliko redio nying hapa bongo, ukiachilia mbali sifa alizowamwagia muanzisha uzi lakn clouds kwenye suala la promo kwa Tanzania hawana mpinzani. Jamaa wanaweza kusifia mpaka mavi na ukayala dah wale watu balaa.
 
Clouds ni media house kubwa Tanzania hakuna ubishi. Ila tuwe wakweli wasikilizaji wengi wa radio wanaamia online hapa Tanzania hasa Instagram ambapo diamond and WCB wanabase kubwa sana. Diamond au msanii wa WCB hawategemei media house za kibongo na nyimbo inakuwa hit ukiangalia vipindi vingi vya radio vina channel YouTube. Diamond kwa sasa ni mkubwa kuliko media house yoyote BONGO.
 
Wanaboa matangazo kibao bora nisikilize hata TBC FM
 
Hizi nyimbo za Clouds - Gone for good! on Air! aisee tutegemee jambo kubwa ndani ya hizi siku mbili i smell some sad news
Kuna wingu jeusi hasa,,ndugu wa Ruge wanaoishi nje wameanza kurejea nchini,nyuso za wafanyakazi wengi wa Clouds zinaonyesha kuna kitu
 
Hivi kwani na radio nyingine kongwe zilianzishwa kwa kiki za hivi kama hawa wasafi wanavyo fanya? Je kiki zikiisha? Ndo utakuwa mwisho wa hiyo radio au?
 
Kuna wingu jeusi hasa,,ndugu wa Ruge wanaoishi nje wameanza kurejea nchini,nyuso za wafanyakazi wengi wa Clouds zinaonyesha kuna kitu
leo ni kama hamna kipindi chochote toka mchana
 
Kusema tu ukweli clouds wapo vzur kuliko redio nying hapa bongo, ukiachilia mbali sifa alizowamwagia muanzisha uzi lakn clouds kwenye suala la promo kwa Tanzania hawana mpinzani. Jamaa wanaweza kusifia mpaka mavi na ukayala dah wale watu balaa.
Unataka kuujulisha umma wa watanzania uliopo hapa Jf kwamba wewe akili zako ni mbovu kiasi cha kuwa tayari kushawishiwa kula mavi.
 
Clouds ni moto wa kuotea mbali huwezi walinganisha na wasafi TV ambao wanarusha mubashara sherehe sijui za tiffa mara nn

Ni kuitukana clouds jamani kuifananisha na Wasafi. Pesa kitu cha ajabu huwadondokea hata vi chaa
 
Andika vizur bhan..yaan nukta moja paragraph nzima
 
Shida mkuu hutaki kukubali reality.. Clouds wameshapotea.. Na wanazid potea... Mimi nashangaa unavokua mgumu kukubali... Anyway mkuu time will tell... Nikutakie jion njema

Their lousy and noisy fiesta show imefutiliwa mbali. Vibe kaokoteeeeee😁😁. Wanaojishaua na kuchefua Clouds fm: Masoud Kipanya, Babra Hassan, Freduaa, ka DaHu, Cotino sijui, Bantu, the Bowse sijui wa ala za roho nk. These are lousy presenters
 
Wabongo huwa hata matokeo ya ripoti ya utafiti yasipokuwa upande wake basi wanayakataa.
 
Team mawingu ..ahsante kwa kichambo
 
Hao Other ndio wameongoza ila mbona mmewaweka mwishoni?
Acha misiahara mkuu other sasa atakuaje wa kwanza wakati ni muunganiko wa viredio vyote vidogo vya kila mkoa kitongoji wilaya, mtaa yani zinaweza fila hata 500 maana niliwahi sikia TZ kuna redio sijui 1000+ sasa ukitoa hizo nyingine za juu zinazobak ndo hizo other
 
Unawachukia tu akina Masoudy, Fredwaa, George Bantu mzee wa bia. Mimi mtu ambaye uwa anaiboa ni Hassan Ngoma labda na Haris Kapinga sema sijui kwanini ananiboaga ila waliobaki personally wako poa.
Kufutwa kwa fiesta haimaanishi ndiko kushuka kwao maana ilianza redio kabla ya Fiesta na Fiesta ni tamasha linalofanyika mwishon mwa mwaka lakini redio ipo tu ina rule mwaka mzima so tulia tu muda utaongea.
 
Mkuu tulia ndio kwanza shughuli imeanza, huwezi kuamini utakachokiona
 
Ok, kumbe hata redio yetu ya FM huku Mkoani imo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…