Clouds FM, The Super Brand

Shida mkuu hutaki kukubali reality.. Clouds wameshapotea.. Na wanazid potea... Mimi nashangaa unavokua mgumu kukubali... Anyway mkuu time will tell... Nikutakie jion njema
Wamepotea wapi mkuu, hii radio ni moto wa kuotea mbali aisee
 
Kwenye maisha siku zote kuna kupanda na kushuka na ndivyo wanavyoombea wengi yatokee hayo kwa CLOUDS FM lakini tatizo Lina kuwa kwa wapinzani wake wako mbali sana kuwafikia CLOUDS .

E-FM wapo slow sana hata baadhi ya vipindi vyao wanakosea muda sahihi wa kuvipangilia haiwezekani asubuh tu kipindi cha michezo masaa matatu hata siku haija changanya vizuri.

CLOUDS FM hawa jamaa sio kwamba mi mwenyewe nawakubali sana ila hamna mpinzani wake anayejaribu kumsogelea ukianzia upangaji wa vipindi vyao na mtiririko wa matukio na hata frequency zao zina nguvu sana zina sikika mpaka uvunguni sio hizo nyinginge ukitoka nje ya dar tu zinaanza kusumbua mpaka uiwekee Kitu juu ndo unasikia vizuri.

Na hata hao wanaoichukia CLOUDS wanajua wao ndo chanzo cha kufel mishe zao iwe business au muziki ni Jana raisi wa "TFF" ametoka kutoa ufafanuzi juu ya sakata la yanga kwenye sports extra hii inaonyesha CLOUDS inaaminika taarifa zake na ina fuatiliwa na watu wengi na hata mkuu mwenyewe anaifutilia kwa makini alishawahi kupiga simu 360.

Sawa ina Matatizo yake mengi sana ila mbadala hajapatikana wa CLOUDS kwa Tanzania bila CLOUDS aisee sijui ingekuwaje game yetu ya bongo flava .

Mnao ichukia CLOUDS unganeni mtafute mbadala wake imara la sivyo mtapata tabu sana.
Ila wapunguze watangazaji waliotajwa kuwa mashoga.
 
Mkuu kabla ya clouds FM Radio kushika kasi kulikuwa na RTD, Radio one na RFA ? Cha msingi waangalie walipojikwaa Wanaweza wasipotee Leo wala kesho but tuwape time
Kwenye maisha siku zote kuna kupanda na kushuka na ndivyo wanavyoombea wengi yatokee hayo kwa CLOUDS FM lakini tatizo Lina kuwa kwa wapinzani wake wako mbali sana kuwafikia CLOUDS .

E-FM wapo slow sana hata baadhi ya vipindi vyao wanakosea muda sahihi wa kuvipangilia haiwezekani asubuh tu kipindi cha michezo masaa matatu hata siku haija changanya vizuri.

CLOUDS FM hawa jamaa sio kwamba mi mwenyewe nawakubali sana ila hamna mpinzani wake anayejaribu kumsogelea ukianzia upangaji wa vipindi vyao na mtiririko wa matukio na hata frequency zao zina nguvu sana zina sikika mpaka uvunguni sio hizo nyinginge ukitoka nje ya dar tu zinaanza kusumbua mpaka uiwekee Kitu juu ndo unasikia vizuri.

Na hata hao wanaoichukia CLOUDS wanajua wao ndo chanzo cha kufel mishe zao iwe business au muziki ni Jana raisi wa "TFF" ametoka kutoa ufafanuzi juu ya sakata la yanga kwenye sports extra hii inaonyesha CLOUDS inaaminika taarifa zake na ina fuatiliwa na watu wengi na hata mkuu mwenyewe anaifutilia kwa makini alishawahi kupiga simu 360.

Sawa ina Matatizo yake mengi sana ila mbadala hajapatikana wa CLOUDS kwa Tanzania bila CLOUDS aisee sijui ingekuwaje game yetu ya bongo flava .

Mnao ichukia CLOUDS unganeni mtafute mbadala wake imara la sivyo mtapata tabu sana.
 
Hizi nyimbo za Clouds - Gone for good! on Air! aisee tutegemee jambo kubwa ndani ya hizi siku mbili i smell some sad news
 
Hapo wasafi ilikuwa bado sasa hivi ni wasafi tu
Hata takwimu za mwaka huu zitatolewa tu kama EFM na ule moto wote iko huko chini usidhani ni rahisi WASAFI ndani ya miezi kadhaa haiondoe clouds ambayo ina audience ya 23% wakati anayemfuata ana 9%. Itachukua muda sana sana na juhudi mwingi
 
Yes time will tell umesema kweli.....
Tazama tofauti kati ya 23% anayemfuata ana 9% hilo gap haliwezi funikwa kwa mihemko ya mwezi mmoja hakuna mabadiriko ya namna hiyo.
Hata takwimu za Tv nazo zinaonyesha anaongoza.
Hata EFM mihemko ilikuwa hiv hivi ilipoanza huu ni upepo tu when the storm is over the weather will be calm again
Hakuna siku clouds kamzid radio free na haitatokea toa hapa hilo jedwali lako la kutunga
 
Sasa Diamond ndo CEO wa wasafi tv unategemea nini?
Biashara aliyoingia inahitaji shule au uzoefu
 
Hakuna siku clouds kamzid radio free na haitatokea toa hapa hilo jedwali lako la kutunga
Ni wabongo ambao uwa wanaktaa takwimu wakati hata research hawajawahi kufanya hizo takwimu siyo za kwangu na za geopoll na zipo toka mwaka 2015 clouds imeanza kuwapita wote 2016, thena kwenye takwimu za mwaka 2017 hata clouds tv ndo ina audience kubwa.
Ulikuwa unajua kwamba EFM iko chini kiasi hicho? Watu wanafanya tafiti sisi uwa tuna judge kwa hisia usibishane na sayansi ya takwimu
 
Sawa ruge nimekusikia pambana na hali yako na huu mchezo usiuchezee wewe

Konk konk konk master
 
Ukitaka kuizika clouds kwanza uandae vipindi mbadala vya “power breakfast, leo tena, XXL, Jahazi, Amlifaya, sports extra na hara za roho” kuna muda najiuliza hivi kuna watu wana matope kichwani, yaani clouds ifunikwe na radio ambayo haina hata content bado. Baada ya mwaka mmoja tutakutana tena hapa kupeana mrejesho.
 
Tofautsha efm na brand ya wasafi jumlisha Msaani mkubwa Diamond wewe mjipange sana baada ya miaka 2 mtapoteana mbona huu ni mwezi 1 tu mshaanza kutafutana je ikiisha miaka 2
Hata EFM wakati inaanza mlikuwa mnasema tofautisha EFM na EA radio, mwakani sijui mtasemaje. Uzuri muda haudanganyi Inshallah mwakani tukiweza hii thread itaibuliwa
 
Tena hao wcb washukuru sana wamepata promo ya clouds ndo show yao ikapata nguvu.mawingu wangekua kimya week nzima wasafi wasikepata kiki.
Clouds ni mkubwa sana.hakuna cha wasafi afadhali ea radio kdgo
 
Back
Top Bottom