Clouds FM, The Super Brand

Shida mkuu hutaki kukubali reality.. Clouds wameshapotea.. Na wanazid potea... Mimi nashangaa unavokua mgumu kukubali... Anyway mkuu time will tell... Nikutakie jion njema
Wamepotea wapi mkuu, hii radio ni moto wa kuotea mbali aisee
 
Ila wapunguze watangazaji waliotajwa kuwa mashoga.
 
Mkuu kabla ya clouds FM Radio kushika kasi kulikuwa na RTD, Radio one na RFA ? Cha msingi waangalie walipojikwaa Wanaweza wasipotee Leo wala kesho but tuwape time
 
Hizi nyimbo za Clouds - Gone for good! on Air! aisee tutegemee jambo kubwa ndani ya hizi siku mbili i smell some sad news
 
Hapo wasafi ilikuwa bado sasa hivi ni wasafi tu
Hata takwimu za mwaka huu zitatolewa tu kama EFM na ule moto wote iko huko chini usidhani ni rahisi WASAFI ndani ya miezi kadhaa haiondoe clouds ambayo ina audience ya 23% wakati anayemfuata ana 9%. Itachukua muda sana sana na juhudi mwingi
 
Hakuna siku clouds kamzid radio free na haitatokea toa hapa hilo jedwali lako la kutunga
 
Sasa Diamond ndo CEO wa wasafi tv unategemea nini?
Biashara aliyoingia inahitaji shule au uzoefu
 
Hakuna siku clouds kamzid radio free na haitatokea toa hapa hilo jedwali lako la kutunga
Ni wabongo ambao uwa wanaktaa takwimu wakati hata research hawajawahi kufanya hizo takwimu siyo za kwangu na za geopoll na zipo toka mwaka 2015 clouds imeanza kuwapita wote 2016, thena kwenye takwimu za mwaka 2017 hata clouds tv ndo ina audience kubwa.
Ulikuwa unajua kwamba EFM iko chini kiasi hicho? Watu wanafanya tafiti sisi uwa tuna judge kwa hisia usibishane na sayansi ya takwimu
 
Sawa ruge nimekusikia pambana na hali yako na huu mchezo usiuchezee wewe

Konk konk konk master
 
Ukitaka kuizika clouds kwanza uandae vipindi mbadala vya “power breakfast, leo tena, XXL, Jahazi, Amlifaya, sports extra na hara za roho” kuna muda najiuliza hivi kuna watu wana matope kichwani, yaani clouds ifunikwe na radio ambayo haina hata content bado. Baada ya mwaka mmoja tutakutana tena hapa kupeana mrejesho.
 
MAPINDUZI YA BURUDANI!
TUNAPINDUA MEZA KIBABE!
 
Sawa ruge nimekusikia pambana na hali yako na huu mchezo usiuchezee wewe

Konk konk konk master
Akili ya watanzania bwana ni kutaka kila mtu awe na mtazamo sawa. Usijali Hamisa endelea kuota ndoto ya kuishi madale
 
Tofautsha efm na brand ya wasafi jumlisha Msaani mkubwa Diamond
wewe mjipange sana baada ya miaka 2 mtapoteana mbona huu ni mwezi 1 tu mshaanza kutafutana je ikiisha miaka 2
Hata EFM wakati inaanza mlikuwa mnasema tofautisha EFM na EA radio, mwakani sijui mtasemaje. Uzuri muda haudanganyi Inshallah mwakani tukiweza hii thread itaibuliwa
 
Tena hao wcb washukuru sana wamepata promo ya clouds ndo show yao ikapata nguvu.mawingu wangekua kimya week nzima wasafi wasikepata kiki.
Clouds ni mkubwa sana.hakuna cha wasafi afadhali ea radio kdgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…